Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Sidhani kama TRA watalitoza kodi kubwa gari ma hizi ingawa zipo kwenye category ya gari za anasa.
Brother ni saidie nijue category ya magari ya anasa according to tra..
Pia kuna gari nimeikuta inauzwa CMC inaitwa Renault Kwid Dola 12,500/= milioni 28 za TZ. Lisa 1 Km 25 . Je hiki kipo kwenye kundi la hanasa.
 

Attachments

  • images.jpeg
    30.4 KB · Views: 91
Swali langu limetokana na post #1

Muingereza ndiye mmiliki wa alama ya Land Rover hivyo hata kama mtu mwingine anatengeneza Land Rover ya aina yoyote, bado muingereza anajulikana kuwa ndiye mmiliki wa gari za aina hiyo Brand.

Mtengenzaji wa sasa anaitwa Jaguar Land Rover ambae anamilikiwa na Tata Motors ya India lakini mwenye jina ni muingereza.

Hivyo basi Copenhagen yupo sawa kwa kumsifia Muingereza bila kujali usukani upo kushoto au kulia.

Nafikiri umenipata mkuu wangu.
 
Wahindi ndio wamiliki wa land rover kwa sasa
 
[emoji106] [emoji106]
 
Wahindi ndio wamiliki wa land rover kwa sasa

Sawasawa kabisa ni jamaa wa TATA Motors.

Lakini gari hizi zinaundwa nchini Uingereza Solihull mjini Birmingham, India, China na nchi nyingine kadhaa.

Nchi hizi ambazo zinaunda magari ya Land Rover kwa leseni ya kutoka Jaguar Land Rover ni pamoja na Brazil, Spain, Turkey na hata Iran.
 
Hata bongo zipo ila zinamilikiwa na wazungu
 
Point of correction mkuu extrovert,body zake zilianza kubadilika kuanzia mwaka 2014 na si mwaka 2013
Prototype ya kwanza ya range rover sport na vogue katika shape mpya ilitoka 2013 mkuu na kudhibitisha hilo yule bilionea wa Arusha marehemu Msuya kipindi anapigwa risasi alikuwa kwenye hio range rover vogue ilikuwa August, 2013. Google picha zake zipo mtandaoni utaiona na angalia mwaka wa tukio.

Okay tunaweza weka exception kwamba hazikuwa nyingi maybe jamaa alifanya special purchase ila before 2014 tayari zilishakuwepo barabaran hizo gari.
 
Changieni. Mukimaliza m ni PM kupata hela ya kununulia nimeandika kwa herufi ndogo na kusema kwa herufi kubwa. Maana wengi mnabishana kugawana pesa ya kwenye ndoto
 
Ya kawaida sana hiyo. CR wa SUA kwa miaka mitatu mfululizo hanisumbue *****......chuo SUA bwana UD ni sawa na TEKU tu au zion.
 
velar ndio mambo yote hilo vogue sioni kipya sana hapo
 
Kwa ulivomsifia mwingereza Upo tayari arudi kukutawala
Mkuu,mm natamani wazungu warudi kututawala hata leo hii...walipokuwepo maisha yalikuwa poa sana na walifanya mengi makubwa kwa muda mfupi!
 
Mkuu,mm natamani wazungu warudi kututawala hata leo hii...walipokuwepo maisha yalikuwa poa sana na walifanya mengi makubwa kwa muda mfupi!
Ukisikia ujinga ndio huu.
We humjui mzungu hata kidogo.
Hata Trump hujamsikia?
Sisi tunaofanya nao kazi ndio tunaojua kisirani chao.
 
Mkuu,unaijua vzr history ya nchi hii...,hongera sana!
 
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Ndio maana nikasema "kwanza"usiwe mwepesi wa kushutum mawazo ya wengine siku ikifika itaendeshwa hata nilivyo navyo sikuzaliwa navyo take easy
 
german touch..... best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…