Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,656
Brother ni saidie nijue category ya magari ya anasa according to tra..Sidhani kama TRA watalitoza kodi kubwa gari ma hizi ingawa zipo kwenye category ya gari za anasa.
Pia kuna gari nimeikuta inauzwa CMC inaitwa Renault Kwid Dola 12,500/= milioni 28 za TZ. Lisa 1 Km 25 . Je hiki kipo kwenye kundi la hanasa.