Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Kwa maisha anayotaka huyu bwana anataka tajiri mkubwa awe anamiliki PASSO
 
Muingereza wapi? Kampuni ya wadosi hii. TATA.
 
View attachment 691352
Kama huyu hapa eeh, sasa ole wako useme vyuma vimekaza
hahaha ndio jaribu kuangalia origin yake google kwa mfano mitsubishi evo ...base model yake lancer
lamborghini aventador
base model huracan
subaru imprezza
base model legacy....
tatizo huku kwetu tunaona bei kisa exchange rate ila hiyo velar huko kwao ya kawaida sanaa
 
Ila kwa bongo ni nyoso
 
Sijapendezwa na HEAD LAMP zake. Nikiinunua nitaweka za staili yangu, naona wameacha slots kwa ajili hiyo. bila shaka waliniandala mini hii gari
 
Naikubali Dicovery aisee


Discovery 5 edition 2017

Hili gari la sasa limetengenezwa kwa bati la aluminium kwa asilimia 85 na ndani lina nafasi ya kutosha, huku likiwa na uzito wa tani 2.1

Kwenye pua yake kuna magnesium na kila sehemu ambayo ni kwa usalama wa abiria basi bati la aluminium limetumika kwa kiasi kikubwa.

Injini.

Ni Cylinder nne kwa injini ya Diesel huku BHP au brake hose power ikiwa ni twin -turbo 237 ingawa unaweza kupata ya V6 kwa Diesel na Petrol.

Gearbox ni 8 speed automatic.

Ndani
Unaweza ukasikia kwa mbali sauti ya muziki hasa mashine ikiwa inachanja mbuga kwenye kasi crusing speed na kelele za madirisha ni kidogo sana.

Viti ni saba vikiwa na mfumo uitwao Intelligent Seat Fold ambapo kwa kubonyeza kioo cha mbele ambapo unaweza kuvifanya vilale au viinuke.


Hili nalo ni gari ya maana.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…