Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hahahaa asanteHahaaaa. Aisee.
You are still young, na ni fighter.
Itabidi ikupende tu.
Let me note it [emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa asanteHahaaaa. Aisee.
You are still young, na ni fighter.
Itabidi ikupende tu.
velar ilitengenezwa kwa soko la watu wasio na uwezo na vogue but wanapenda luxury mahsusi zaidi india...
[emoji23] [emoji23] [emoji53] [emoji23]Kwa ulivomsifia mwingereza Upo tayari arudi kukutawala
Hahah noma mzee,Kwa maisha anayotaka huyu bwana anataka tajiri mkubwa awe anamiliki PASSO
50 ish mkuu kwao ni bei ya kawaida ni kama mtu amiliki prado ivi.... huko kwaoUnaifahamu bei ya kuanzia ya Velar?
hahaha ndio jaribu kuangalia origin yake google kwa mfano mitsubishi evo ...base model yake lancerView attachment 691352
Kama huyu hapa eeh, sasa ole wako useme vyuma vimekaza
Ila kwa bongo ni nyosohahaha ndio jaribu kuangalia origin yake google kwa mfano mitsubishi evo ...base model yake lancer
lamborghini aventador
base model huracan
subaru imprezza
base model legacy....
tatizo huku kwetu tunaona bei kisa exchange rate ila hiyo velar huko kwao ya kawaida sanaa
ndio hivo mkuu hata ukiangalia huku kwetu hata ukiwa na verossa ni gari wakati huko marekani ilivotiwa the ugliest lookin car 2001....Ila kwa bongo ni nyoso
Dicovery hii itakua hybrid car mkuu?Naikubali Dicovery aisee
Naikubali Dicovery aisee
ukishafungua hiyo miradi mingi ya kuingiza pesa utanunua tu iyo range roverGharama za hio range unafungua miradi mingi ya kuingiza pesa
Mzuqa Wanajamvi,View attachment 689827
Muingereza mshenzi sana. Hii renji Vogue 2018 ni nouma. Yani nje Na ndani Ni sheeda. View attachment 689828 Desh board Ni touch screen. Yani Muingereza Maamae kwa hili gari namuheshimu Sana. Cheq Hapo chini video Na picha.
View attachment 689829 View attachment 689830 View attachment 689831 View attachment 689832