Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Ungekuwa rais ungepata ubavu wa kuwa dikteta kama unakusanya kodi na kuweka.huduma za jamii. Sasa kadada ka watu kanaimba kwa kujituma hadi hakanenepi, afu akikusanya tuhela twake mnataka asinunue gari zuri kwa sababu mmechagua rahisi anazurura kuomba neti na mashuka? Hell no! Kwenye familia zetu tunao watu wavivu, walikataa shule ama kazi, hawanizuii mie kununua uturi ama kwenda brazil kuangalia world cup. Eboo
Brand new or more than one hand?
Hongera dada jide.. huyu ndio mwanamke mfano wa kuigwa sasa. Sio hao wakina shilole na wakina masogange. Kazi kupiga picha kuonyesha makalioo
naonaga kama almasi huwa ananunua gari za kishamba!. Anaacha kucheza na ma benz, maaudi na ma bmw ye anakimbilia migari ya madingi haina hata swagga.
Wewe huwezi kulinganisha land cruiser v8 high na evoque., land cruiser ni more expensive zaidi ya hilo range...
Mmmh basi jide ni noma
Wewe huwezi kulinganisha land cruiser v8 high na evoque., land cruiser ni more expensive zaidi ya hilo range...
Mbona nayeye kaficha number plates kama Domo?
unfair comparison.....ENVOQUE kwenye RANGE ROVER FAMILY ni kama RAV 4 kwenye TOYOTA FAMILY.... L/CRUISER V8 ILINGANISHE NA RANGE ROVER SDV8 AUTOBIOGRAPHY
Naona kama bado hamjaona vizur so I had to repost, pole kwa usumbufu bibieJamanii si tumeshaiona au?leo inarudiwaa hii storry
kwahiyo alivyopiga nalo picha ndio lake
Siyo lake ni la Mume wake G.Habash