Kwa range safi sn,kula matunda ya jasho lako mama,lakini JD KWENYE SEKTA YA MAVAZI,....AMESANDAAAAAA...jmn hamna ht volunteer?me naonaga hapendezagi,mwili wake ni mzuri tu (standard) lakn mhh anavopenda hvo vimbano,hapendezi,i thnk dresses,jumpsuits hvi would do her more good,
ona km alivovaa hapo,kichekesho
Ungekuwa rais ungepata ubavu wa kuwa dikteta kama unakusanya kodi na kuweka.huduma za jamii. Sasa kadada ka watu kanaimba kwa kujituma hadi hakanenepi, afu akikusanya tuhela twake mnataka asinunue gari zuri kwa sababu mmechagua rahisi anazurura kuomba neti na mashuka? Hell no! Kwenye familia zetu tunao watu wavivu, walikataa shule ama kazi, hawanizuii mie kununua uturi ama kwenda brazil kuangalia world cup. Eboo
Halafu ukimaliza kutype huu ushuzi unaenda kugombea daladala!! Wabongo bana.....
Kubali tu matokeo mdada ni next level period.
=> Jide ndio anamiliki gari ghali kuliko wasanii wote Bongo...Land Rover..Range Rover Evoque.. .kitu WHITE....
hhehehe,ntuweee babuu....HUNIJUI,
btw kwn nmekataa ye ni next level??!unajua kusoma wew,au una div5,?kwny range nimemsifiaa,my point is HAPENDEZAGIII,sasa ina uhusiano gani na unavokandia,ulitaka nimsifie wakati ni kweli huwa hapendezii...HABARI NDO HYOO...PERIOD....
Watu wanaojua sana aina za magari huwa mara nyingi hawana magari, ni sawa na mtu anayejua sana aina za simu.
Mbona inasemekana la Diamond kapewa zawadi?sijui nyie wa mujini hebu mtujuze
Kwa range safi sn,kula matunda ya jasho lako mama,lakini JD KWENYE SEKTA YA MAVAZI,....AMESANDAAAAAA...jmn hamna ht volunteer?me naonaga hapendezagi,mwili wake ni mzuri tu (standard) lakn mhh anavopenda hvo vimbano,hapendezi,i thnk dresses,jumpsuits hvi would do her more good,
ona km alivovaa hapo,kichekesho
Imepita na speed ya 180 hakuna mtu aliyeiona.
:focus:
Diamond inabidi aachane na Ma-Toyota watu wenye hela wanatembelea magari ya maana achana na V8 fanya kama JIDE unavuta RR then Escalade then Lincoln Navigator then tunaenda hadi Maybach au Aston Martin.
hhehehe,ntuweee babuu....HUNIJUI,
btw kwn nmekataa ye ni next level??!unajua kusoma wew,au una div5,?kwny range nimemsifiaa,my point is HAPENDEZAGIII,sasa ina uhusiano gani na unavokandia,ulitaka nimsifie wakati ni kweli huwa hapendezii...HABARI NDO HYOO...PERIOD....
Kwan what's the difference between a range rover evoque(2013) and a V8?in prices?ktu ni kile kile