Range rover ya Lady Jaydee

Range rover ya Lady Jaydee

Kwa range safi sn,kula matunda ya jasho lako mama,lakini JD KWENYE SEKTA YA MAVAZI,....AMESANDAAAAAA...jmn hamna ht volunteer?me naonaga hapendezagi,mwili wake ni mzuri tu (standard) lakn mhh anavopenda hvo vimbano,hapendezi,i thnk dresses,jumpsuits hvi would do her more good,
ona km alivovaa hapo,kichekesho
 
Halafu ukimaliza kutype huu ushuzi unaenda kugombea daladala!! Wabongo bana.....

Kubali tu matokeo mdada ni next level period.
 
Ungekuwa rais ungepata ubavu wa kuwa dikteta kama unakusanya kodi na kuweka.huduma za jamii. Sasa kadada ka watu kanaimba kwa kujituma hadi hakanenepi, afu akikusanya tuhela twake mnataka asinunue gari zuri kwa sababu mmechagua rahisi anazurura kuomba neti na mashuka? Hell no! Kwenye familia zetu tunao watu wavivu, walikataa shule ama kazi, hawanizuii mie kununua uturi ama kwenda brazil kuangalia world cup. Eboo

Si ndio hapo sasa...
 
Halafu ukimaliza kutype huu ushuzi unaenda kugombea daladala!! Wabongo bana.....

Kubali tu matokeo mdada ni next level period.

hhehehe,ntuweee babuu....HUNIJUI,
btw kwn nmekataa ye ni next level??!unajua kusoma wew,au una div5,?kwny range nimemsifiaa,my point is HAPENDEZAGIII,sasa ina uhusiano gani na unavokandia,ulitaka nimsifie wakati ni kweli huwa hapendezii...HABARI NDO HYOO...PERIOD....
 
safi sana ulianza na nyumba sasa magari mapya sio used, mzungu ajajampa humo
 
hhehehe,ntuweee babuu....HUNIJUI,
btw kwn nmekataa ye ni next level??!unajua kusoma wew,au una div5,?kwny range nimemsifiaa,my point is HAPENDEZAGIII,sasa ina uhusiano gani na unavokandia,ulitaka nimsifie wakati ni kweli huwa hapendezii...HABARI NDO HYOO...PERIOD....

Acha kujifaraguwa, Jide apendeze kwako ili iweje? Yatosha akipendeza kwa Gadner Habash. By the way Jide ni mwanamuziki na siyo photo model.
 
Mmh Sawa Mdada hongera

Hapa za kwetu tunazificha mbali haha 😉
 
Mbona inasemekana la Diamond kapewa zawadi?sijui nyie wa mujini hebu mtujuze

Acha kutuchanganyia mada hapa, Jide ana Range rover ya kwake hapo pichani, na Diamonds amepewa Toyota land cruiser v8 na Chief Kiumbe ili kuosha jina mjini, baada ya muda gari ya Diamond itarudi kwa mwenyewe au ndio style ya kuliuza kirahisi ili korongwee lione ni ujiko amenunuwa kwa Diamond.

Hivi ndivyo tunavyoishi mjini na tupogo sana.
 
Ukweli Hutu j mungu anamatia kwa vile ametulia ana vituko au kashfa kama was an I engine tulia hi yo Dada .mlipili
 
hiyo inaitwa Range Rover Evoque. si chini ya milioni 72
 
Kwa range safi sn,kula matunda ya jasho lako mama,lakini JD KWENYE SEKTA YA MAVAZI,....AMESANDAAAAAA...jmn hamna ht volunteer?me naonaga hapendezagi,mwili wake ni mzuri tu (standard) lakn mhh anavopenda hvo vimbano,hapendezi,i thnk dresses,jumpsuits hvi would do her more good,
ona km alivovaa hapo,kichekesho

wewe ni demu mshamba..ujui ata pamba alafu unajifanya kufasheni polisi,ulitaka awe anavaa km kesho atovaa tena ujui wadada wajanja siku izi hawacomplicate kucomplicate ni dalili ya kutojiamini..vaa confidence kwanza boya ww,,vogi litawaliza wengi mjini hapa kmamake ndio dawa yenu
 
Kwaio kupiga picha na gari na kupost kwnye mitandao ya kijamii ni ushahdi tosha kua ni gari lake?lol
 
Imepita na speed ya 180 hakuna mtu aliyeiona.
:focus:
Diamond inabidi aachane na Ma-Toyota watu wenye hela wanatembelea magari ya maana achana na V8 fanya kama JIDE unavuta RR then Escalade then Lincoln Navigator then tunaenda hadi Maybach au Aston Martin.

Kwan what's the difference between a range rover evoque(2013) and a V8?in prices?ktu ni kile kile
 
=> ☆★ I see ... true... ur right...NI UKWELI KABISA KABISA....Jide she is not ATTRACTIVE...at all...4get about her maendeleo..tht is another thing...we talk of being SEXY...attractiveness...kama msanii & a woman she must LOOK SEXY & ATTRACTIVE....na hicho kitu kikubwa mno mno kwa msanii hasa wa kike....dunia
nzima...coz APPEARANCE YA BODY & MAVAZI ni # 1 hasa ktk usanii...

=> JIDE mavaz YANAMWANGUSHA KABISA...she doesn't know HOW TO DRESS kutokana HANA FIGURE
ATTRACTIVE... ya kubana bana yana mlet down...kavaa hapa like Cheki bob fulani hivi....lazima avae mavazi ya kumhifadhi umbo lake ambalo sio attractive kabisa...avae nguo nzuri either suruali au nguo za kike zisiwe zinabanaaaa hadi balaa sbb hana FIGURE SO
NDIO ANAONEKANA KITUKO.....hapa hatuongelei maendeleo yake....don't mix stuffs nyie kina Matola....keep shut....!!! she is not SEXY not attractive....period....!!!

hhehehe,ntuweee babuu....HUNIJUI,
btw kwn nmekataa ye ni next level??!unajua kusoma wew,au una div5,?kwny range nimemsifiaa,my point is HAPENDEZAGIII,sasa ina uhusiano gani na unavokandia,ulitaka nimsifie wakati ni kweli huwa hapendezii...HABARI NDO HYOO...PERIOD....
 
Kwan what's the difference between a range rover evoque(2013) and a V8?in prices?ktu ni kile kile

....GO & SEARCH....again...unaweza kuwa na kitu cha bei moja BUT MOJA NI BEST SANA SANA ZAIDI YA
KINGINE.....evoque is more luxurious car than V8.. ww... V8 jina tu....
 
Mr. President,bora umeliona,nmeamua kuachana ubishi na hao jamaa coz HAWAELEWIII HATA ROBO nini maana ya mvuto kwa mwanamke ambae ni star....sioni km jide mwili wake una tatzo,choice ya mavazi ndo ina ishu..can u say jide looks sexyyy??or attractive?? Anaposanda mtu kumwambia ni muhimu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom