Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Kabla ya kupiga rangi huwa kuna foundation coating inafanywa ikianzwa na white emulsion, then acrylic binder(mafundi huita gundi ya rangi) halafu mwisho ndio humalizikia na rangi unayotaka...
Baada ya skimming unaweza kupaka rangi nyeupe ya maji na ukamalizia na weather guard uitakayo bila hio binder na hakuna tatizo lolote. Vitu vingine mbwembwe tu hata usipofanya hakuna madhara.
 
😂😂Dah
 
Mazingira yapo mwake tuu so hilo halina shida. Nachotaka ni rangi ya kampuni gani ni nzuri na bei zake. Hizi weather guard zikoje?
Kampuni Plascon, rangi ya nje kwa ujumla huitwa weather guard...bei around 150k to 200k inategemea uko wapi.
 
Kampuni Plascon, rangi ya nje kwa ujumla huitwa weather guard...bei around 150k to 200k inategemea uko wapi.
Asante. Hii ni beinya ndoo ya 20litres?
 
Binder ni muhimu endapo ume skim ikuta.
Hii ni kuua vumbi...kwani binder ni aina ya gundi.
Anaweza kutumia hata billion binder au sado binder
Mkuu asante Kwa elimu ya rangi, Mimi nimeskim Kwa ndani Kwa wallputy, ukiingia unaweza kudhani nimeshapaka Rangi nyeupe tayari na hakuna haja ya rangi. Sasa nakaribia kupaka Rangi ya mwisho. Naomba unieleweshe hii binder inauzwa bei gani na kama sotopaka binder nikapaka Rangi moja Kwa moja nini kitatokea?
 
Binder ni kati ya 90k to 120k mkuu.
Hiyo hutumika ku bind unga unga baada ya skiming muu.
Kwa mtu ambaye hajiandaa kupiga rangi baada ya skiming ukipaka binder ule unga unga unakaushwa sawa na umepiga rangi mkuu.

Binder pia inasaidia kupunguza tatizo la fangas
 
Ndoo 5 za finishing...weather guard?
Hapana hiyo nyumba ndogo ndoo moja ya weather guard inatosha.
Kumbuka lazima uanze na rangi ya maji nayo ndoo 1. Hii bei yake ni 28k to 33k
Hawa mafundi wangese sana wanakuinguza chaka hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…