Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Kabla ya kupiga rangi huwa kuna foundation coating inafanywa ikianzwa na white emulsion, then acrylic binder(mafundi huita gundi ya rangi) halafu mwisho ndio humalizikia na rangi unayotaka...
Baada ya skimming unaweza kupaka rangi nyeupe ya maji na ukamalizia na weather guard uitakayo bila hio binder na hakuna tatizo lolote. Vitu vingine mbwembwe tu hata usipofanya hakuna madhara.
 
Mnaazaga kwa kusahau hereni mara siku umekuja na chupi mbili unafua na kuicha, mara khanga...before u know it utasikia bby nataka kuja wikend tuspend pamoja alafu monday nitaenda kazini tokea hapo...ndio kaamia huyo subiria tuu kuambiwa bby sioni siku zangu
😂😂Dah
 
Binder ni muhimu endapo ume skim ikuta.
Hii ni kuua vumbi...kwani binder ni aina ya gundi.
Anaweza kutumia hata billion binder au sado binder
Mkuu asante Kwa elimu ya rangi, Mimi nimeskim Kwa ndani Kwa wallputy, ukiingia unaweza kudhani nimeshapaka Rangi nyeupe tayari na hakuna haja ya rangi. Sasa nakaribia kupaka Rangi ya mwisho. Naomba unieleweshe hii binder inauzwa bei gani na kama sotopaka binder nikapaka Rangi moja Kwa moja nini kitatokea?
 
Binder ni kati ya 90k to 120k mkuu.
Hiyo hutumika ku bind unga unga baada ya skiming muu.
Kwa mtu ambaye hajiandaa kupiga rangi baada ya skiming ukipaka binder ule unga unga unakaushwa sawa na umepiga rangi mkuu.

Binder pia inasaidia kupunguza tatizo la fangas
 
Ndoo 5 za finishing...weather guard?
Hapana hiyo nyumba ndogo ndoo moja ya weather guard inatosha.
Kumbuka lazima uanze na rangi ya maji nayo ndoo 1. Hii bei yake ni 28k to 33k
Hawa mafundi wangese sana wanakuinguza chaka hivi hivi
 
Back
Top Bottom