Rangi nyeupe ni nzuri mazee, ndio maana wanawake wanajichubua, tuache unafiki

The post trauma effects of colonialism and slavery is still on!

It is really hard to get rid of these things in our African minds...Tougher than moving mountains!

It is so engrained in our social fabric so deep...

Its unfortunate....

You can prefer light skin,yes,but don't grade....
 
Colonialism blah blah blahh...Kati yangu na wewe unayeleta lugha ya kizungu kwenye mjadala wa Kiswahili nani aliyeathirika na ukoloni?

Hiyo rangi niliyoweka hapo sio ya mzungu, ni weupe wa mwafrika. Sijafagilia mzungu hapa

Acha upumbavu wa kusingizia kila kitu wazungu ni dalili za ufinyu wa fikra

Kwa hiyo nikisifia kumiliki gari ni raha utasema natukuza watu weupe pia? Maana ndio wanaounda magari na walio introduce magari Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…