Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Wazee wa black is beauty mtanisamehe...white is more beautiful
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee ilo jeusi ni goti au kwapa
Naunga mkono hoja"Black is beautiful" kinachotakiwa ni utunzaji mzuri wa ngozi, kuna wazungu wana ngozi mbaya sana.
Sijasema tuwatupe..ila ukweli usemweUkweli usemwe! Lakini sasa na hao weusi ndio tuwatupe?
Hapo ni maeneo gani katika hicho kiungo
Kwahali hii, nikweli weupe una raha yake
Colonialism blah blah blahh...Kati yangu na wewe unayeleta lugha ya kizungu kwenye mjadala wa Kiswahili nani aliyeathirika na ukoloni?The post trauma effects of colonialism and slavery is still on!
It is really hard to get rid of these things in our African minds...Tougher than moving mountains!
It is so engrained in our social fabric so deep...
Its unfortunate....
You can prefer light skin,yes,but don't grade....
Rangi nyeupe ipowapi hapa mbona kuna nyeusi na rangi kama ya soda fanta.
🤣🤣🤣🤣🤣Aiseee ilo jeusi ni goti au kwapa
Au mwiko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa Kiswahili Ni Ujasiriamali (Entrepreneurs)Naunga mkono hoja
Yaani naomba asiwe yeye, kama ni yeye anashindwa hata kupaka mafuta huo mguu umepaukaa.Au mwiko