Tatizo hiyo black iliyopo pichani ina ugonjwa wa ngozi, weka ile beauty au ebony mkuu.
Povu zito, sorry kama nimeumiza hisia zako
Ulianza kuleta mambo ya ukoloni hapa, na nilichoweka ni mikono miwili ya Waafrika! Mkoloni hana hiyo rangi kabisa
Labda ningeweka mkono wa mzungu na mwafrika, wewe unakuja na English yako ambayo ndio ya wakoloni..
Unaonekana upo obssesed sana hao na hao wakoloni wakati mimi sina mpango nao
Na hata ingekua, je wakoloni ndio wenye rangi nyeupe tu? Wachina, wahindi, wakorea, Waarabu, walatino wana lighter skin, kwa nini ulete wazungu? Kama sio obssesion?
Na kama kitu kinasababishwa na genetic ni kosa ku compare kisa watu hawana control navyo?
Kwa hiyo mwanaune anayesema anapendelea makalio makubwa ambayo ni maumbile ya kuzaliwa, nao wana makosa? Au wanawake wanaopendelea wanaume warefu? Au makosa yapo kwa anayezungumzia ngozi pekee?
Na unaposema mimi ni mzee nina mvi matakoni, huoni kwamba unatukana wazee na uzee ni kitu ambacho mtu hana control nacho?
One in a million hiyo...usizungumzie case moja moja ambazo zinakua ni exception, maana kila general rule ina exception zakeUna haki ya kusema unachofikiri kama bado hujawahi kushuhudia jambo.
Nilisoma na Mtoto mmoja shule ya msingi anaitwa Teddy, kabinti ni keusi lakini ni kacute kupita maelezo...tulikuwa na 'light skin' wa kutosha tu shuleni pale lakini Tedi ni noma.
Na ajabu kale katoto tangu shule ya msingi mpaka utu uzima yupo cute vilevile, ingawa ni miaka kadhaa ya karibuni sasa sijamuona.
Na kalikuwa kanatokea familia moja bora sana a.k.a mboga saba, hivyo hata wazengeaji walikaogopa ile mbaya.
Inategemea unataka kutafsiri vipi, ila uwepo wake basi ni ushahidi tosha kuwa wapo, tofauti na uzi unavyosema.One in a million hiyo...usizungumzie case moja moja ambazo zinakua ni exception, maana kila general rule ina exception zake
Nah really!
I busted open how lethal your post is katika uwanda mpana wake...
Umeweka mikono miwili ya Waafrika,but ume-grade mkono mweupe ni bora zaidi hujasema hata ni kwanini na kwa kazi gani..
Ulichokitoa ni typical residual effect ya colonialism...Hiki kitu hakikuwepo kabla ya colonialism na slavery,please read here:
<<<<<Historically, the cause of skin lightening goes back to colonialism, where individuals with lighter skin received greater privilege than those of darker tones.[29] This built a racial hierarchy and color ranking within colonized African nations, leaving psychological effects on many of the darker skinned individuals.[29]>>>>>
Wewe ni mnafiki maana umesoma English pia kwa miaka zaidi ya 14,na pia huwezi fananisha English na genetics,get this in your head mkuu!
Huwezi kujua kama upo kwenye post trauma,utaongea kinafiki hapa kua hauna mpango na Wazungu,I get that.
Lakini tangu ulipozaliwa kuanzia kwenye dini,shule,music,news,etc kua white colorism has a higher value than dark one!
You are so obsessed with skin colorism mpaka ukaitoa hii thread,hujaitoa just from nowhere!And you well know this,ila tulivyojaa unafikia utakataa,which is cool with me!
Sio Wazungu tu wenye ngozi nyeupe..
Nimetaja Wazungu specifically sababu African oppressors have always been Arabs and Europeans na their lethal racism based on just skin color alone is well documented.
Ku-compare wanadamu kwa genetics ili kutoa upendeleo fulani ni kosa..Haijalishi ni matako,urefu,ufupi,kucha,pua,etc..Ni WRONG!
Hivyo usijitete na hivyo vingine!
Sasa basi,kwanini skin color ndio ishu kubwa hapa zaidi ya hivyo vingine?
Jibu ni kua skin color ipo linked na kitu kingine very sensitive na volatile kinachoitwa RACE!
Ndio shida inapoanzia!
Matako,urefu,ufupi,pua,vidole,etc vipo across all races,tatizo lipo kwenye skin color ambapo ipo coded kwenye specific race.....Na world's races have been living kwa uadui mkubwa historically!
I wish you understand the effects of what you have just done with this thread!
Your sisters reading this thread,who happen to have dark skin will all feel worthless...let that sink in for a moment!
What will they do to cope?They will use skin lightening creams and surgeries....Then what?You are a part of the problem and not a solution to begin with!
Kwa mfano it happens you have a dark skinned daughter who have a light skinned friend,halafu ukamwambia rafiki yake ni better sababu ana ngozi nyeupe.....
Hivi unajua utakua ume-cause damage kiasi gani kwa binti yako?Unajua how grossly stupid you will be with this?
Unachofanya hapa unawafanyia mabinti wa wanadamu wenzio,the same way to your own daughters!
Yeah,we are human beings,we have our biases and discrimination,walao ficha basi,its unfortunate you are coming off ballistically and so proud with this color nonsense!
Hivi tangu lini uzee au ujana ni tusi?Kua na mvi ni tusi?
Mzee baba kwa hiyo una maana kabla ya wakoloni kuja watu walikuwa hawana upendeleo wa rangi? Iwe nyeupe ama nyeusi? Kulikuwa hakuna wasichana wa Kiafrika warembo kuliko wengine?
Halafu nikuambie tu kuna mambo ya wazungu nipo impressed nayo lakini sio muonekano wao wa ngozi, na watu wengi wanaposema wanapendelea rangi nyeupe hawamaanishi anapendelea ule weupe wa kizungu
Mzee pengine utakuwa na matatizo sijui ya inferiority complex kiasi kwamba mtu akipendelea kitu cheupe chochote juu ya cheusi utapeleka kwenye mambo ya Mzungu vs Mwafrika, sasa wewe ndio racist wa kiwango cha juu sana
Halafu binadamu tumezaliwa na trait tofauti tofauti zinazotokana na jenetiki, kuna warefu, wafupi, weusi weupe,wenye sauti nzito, laini, wenye misuli, wasio nayo, wanene, wembamba n.k na hii ndio inafanya dunia inakuwa ineresting na watu wenye vipaji na fani mbalimbali kwenye kama wanamitindo, wacheza soka, wanamuziki, mambondia, n.k..
Mtu kuwa na upendeleo kwa mtu fulani kutokana na muonekano wake unaosababishwa na muundo wake wa kijenetiki sio kosa wala ubaguzi.! La sivyo kusingekuwa na mashindano mbalimbali wala ma superstar.
Ku presume na ku judge character ya mtu kutokana na muonekano wake wa nje ndio ubaguzi usiotakiwa
Halafu suala la race sijui linakuaje sensitive kwa Tz wakati tupo 99% wote Wabantu, na ndio wasoma post yangu, ndio maana hakuna mtu aliyeleta ishu za race isipokuwa wewe, racism haiwezi kuwa ishu sensitive Tanzania labda ukabila au udini huko
Sasa huyo dada yangu ama binti atakaeona mtu kasema ana upendeleo na rangi nyeupe kisha akaenda kuji bleach atakua na matatizo na anahitaji tiba ...Yaani mtu akipenda rangi ya ngozi na wewe ukawa huna hiyo rangi, ina maana huna quality nyingine hadi ukaji bleach kana kwamba uzuri wa mtu una kuwa based kwenye rangi ya ngozi pekee? Atakuwa ana matatizo
Still unarudi kule kule....traits unazotaja hazijagusa racial lines!So akisikia pia mtu akisema anapendela wanawake warefu yeye atatamani kujirefusha, akisikia wanapenda maziwa makubwa ataenda kufanya operesheni, akisikia wanapenda makalio nae ataenda kufanya sijui operesheni tena..?
Mnafiki ni wewe maana unaelewa kabisa thread yako imeumiza group of women ila bado unakomaa upo sahihi!Halafu uache unafiki uliponiambia mimi ni mzee nina mvi matakoni ulimaanisha kama wazee ndio hawatakiwi kuwa na mada kama yangu?
Kuna black beauty lakin sio black is beautyUkweli usemwe! Lakini sasa na hao weusi ndio tuwatupe?
Weupe wa wazungu sio mzuri hata ila weupe wa kiafrika kiukweli upo good sana au wa kihindiThe post trauma effects of colonialism and slavery is still on!
It is really hard to get rid of these things in our African minds...Tougher than moving mountains!
It is so engrained in our social fabric so deep...
Its unfortunate....
You can prefer light skin,yes,but don't grade....
Kuna beauty ya general yaani kila mtu anaiona
Hi ni mikono ama miguu?
Weupe wa wazungu sio mzuri hata ila weupe wa kiafrika kiukweli upo good sana au wa kihindi
Hakuna beauty ya general, ila kuna kufuata mkumbo... yani kwa sababu majority wanamsifia basi nawe unajifanya kumsifia ila moyoni unajua ni wa kawaida sana...
Cc: mahondaw
Sikubaliani na kujichibua, but nikuambie kitu.Still ni beauty standard kwendana na effect ya external white race....
Kwanini usiseme weusi ndio mzuri?
Hivi unaweza nipa scientific au hata social reasons lighter skin tone ni better than darker one?
Unafanya racism within your own race after the effect of the external race!
Ni racial effect which still runs deep in ourselves and we can never know we have a problem kiasi kwamba mimi ninaepinga skin colorism ndio naonekana wa ajabu kinyume chake!
The problem is so so deep and still going deep!
Sikubaliani na kujichibua, but nikuambie kitu.
It's not a matter of racism or colonialism. God created us in all shades, and in our hearts He gave to each their preference.
That is why we have different colours, shapes and sizes. And we attract different people.
Ara wiii tugeza yang man?