Nah really!
I busted open how lethal your post is katika uwanda mpana wake...
Umeweka mikono miwili ya Waafrika,but ume-grade mkono mweupe ni bora zaidi hujasema hata ni kwanini na kwa kazi gani..
Ulichokitoa ni typical residual effect ya colonialism...Hiki kitu hakikuwepo kabla ya colonialism na slavery,please read here:
<<<<<Historically, the cause of skin lightening goes back to colonialism, where individuals with lighter skin received greater privilege than those of darker tones.[29] This built a racial hierarchy and color ranking within colonized African nations, leaving psychological effects on many of the darker skinned individuals.[29]>>>>>
Wewe ni mnafiki maana umesoma English pia kwa miaka zaidi ya 14,na pia huwezi fananisha English na genetics,get this in your head mkuu!
Huwezi kujua kama upo kwenye post trauma,utaongea kinafiki hapa kua hauna mpango na Wazungu,I get that.
Lakini tangu ulipozaliwa kuanzia kwenye dini,shule,music,news,etc kua white colorism has a higher value than dark one!
You are so obsessed with skin colorism mpaka ukaitoa hii thread,hujaitoa just from nowhere!And you well know this,ila tulivyojaa unafikia utakataa,which is cool with me!
Sio Wazungu tu wenye ngozi nyeupe..
Nimetaja Wazungu specifically sababu African oppressors have always been Arabs and Europeans na their lethal racism based on just skin color alone is well documented.
Ku-compare wanadamu kwa genetics ili kutoa upendeleo fulani ni kosa..Haijalishi ni matako,urefu,ufupi,kucha,pua,etc..Ni WRONG!
Hivyo usijitete na hivyo vingine!
Sasa basi,kwanini skin color ndio ishu kubwa hapa zaidi ya hivyo vingine?
Jibu ni kua skin color ipo linked na kitu kingine very sensitive na volatile kinachoitwa RACE!
Ndio shida inapoanzia!
Matako,urefu,ufupi,pua,vidole,etc vipo across all races,tatizo lipo kwenye skin color ambapo ipo coded kwenye specific race.....Na world's races have been living kwa uadui mkubwa historically!
I wish you understand the effects of what you have just done with this thread!
Your sisters reading this thread,who happen to have dark skin will all feel worthless...let that sink in for a moment!
What will they do to cope?They will use skin lightening creams and surgeries....Then what?You are a part of the problem and not a solution to begin with!
Kwa mfano it happens you have a dark skinned daughter who have a light skinned friend,halafu ukamwambia rafiki yake ni better sababu ana ngozi nyeupe.....
Hivi unajua utakua ume-cause damage kiasi gani kwa binti yako?Unajua how grossly stupid you will be with this?
Unachofanya hapa unawafanyia mabinti wa wanadamu wenzio,the same way to your own daughters!
Yeah,we are human beings,we have our biases and discrimination,walao ficha basi,its unfortunate you are coming off ballistically and so proud with this color nonsense!
Hivi tangu lini uzee au ujana ni tusi?Kua na mvi ni tusi?