ile ya blue inapendeza sanaKuna ujuha wa kukwepa rangi za Yanga kwenye bendera ya Taifa. Basi watumie rangi ya blue complete
Hizo rangi za chura fc na CCM zina Laana,Kuna ujuha wa kukwepa rangi za Yanga kwenye bendera ya Taifa. Basi watumie rangi ya blue complete
Iende Russia ikafanye nini? kule wanaenda wenye akili timamu tu, wendawazimu hawaruhusiwi hata kukaa jukwaani.Kwanza nipeni matokeo ya World Cup, timu yetu inaenda Russia au la?