Rangi ya jezi Taifa Stars?

Rangi ya jezi Taifa Stars?

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Leo Taifa Stars wapo uwanjani mechi ya kirafiki na Malawi.
Wamevaa jezi nyeupe na strip ya blue lakini sehemu kubwa ni nyeupe. Japo sio lazima sana, nchi nyingi huchukua rangi kwenye bendera ya nchi. Hii nyeupe wametoa wapi? Ukiacha bendera kuna nembo au alama nyingine ya taifa walikotoa?
Au utashi wa viongozi wa TFF tu?
 
Halftime Malawi wapo mbele moja bila. Utadhani ndiyo wenyeji.
 
Mechi iliyopita walipewa sifa sana,naona leo sifa zimewalevya
 
Mechi iliyopita walipewa sifa sana,naona leo sifa zimewalevya
Leo wamelewa kweli. Malawi tuliowafunga Sauzi sio hawa. Walikuwa wana test Vijana. Leo imekuwa proper team tunahenya
 
Watoto wamelegea balaa, timu nzima anaeshughulika kiume ni samatta peke yake
 
Kwani rangi ndiyo inacheza?

Hoja za kipumbavu kama hizi utazikuta huku tu.
Timu ya taifa ya Italy inaitwa "Gli Azzurri" ikiwa ni tafsiri ya "The Blues" lakini hakuna rangi ya blue kwenye bendera Yao na wanavaa blue&white.
Italian Flag Related Keywords _ Suggestions - Italian Flag ___.jpg
UEFA Euro 2016 _ Italian Soccer Serie A, News, Serie A ___.jpg
 
Hii timu imekua kama Changudoa, kila mtu anapiga bao tu. Yaani atujawahi kufurahia football kwenye nchi hii. Kila siku majonzi tu, dah!
 
Kwanza nipeni matokeo ya World Cup, timu yetu inaenda Russia au la?
 
Mpango wa Malinzi kubadili jezi za timu ya Taifa ndio unaendelezwa na hawa wa sasa? Basi hakuna mabadiliko
 
Back
Top Bottom