Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Leo Taifa Stars wapo uwanjani mechi ya kirafiki na Malawi.
Wamevaa jezi nyeupe na strip ya blue lakini sehemu kubwa ni nyeupe. Japo sio lazima sana, nchi nyingi huchukua rangi kwenye bendera ya nchi. Hii nyeupe wametoa wapi? Ukiacha bendera kuna nembo au alama nyingine ya taifa walikotoa?
Au utashi wa viongozi wa TFF tu?