kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Mwana dada chemical asiyekuwa na mpinzani kunako ulingo wa hip hop kwa upande wa kina dada tanzania ameamuwa kutoka kwenye utomboy na sasa amekuwa na muonekano wa beyonce. Inasemekana baada ya msanii mwenzake "stereo" ambaye anahit na wimbo wake wa "mpe habari" kumtoa bikra aliyokuwa akidai kuwa nayo sasa amebadilika kabisa kimuonekano. Kweli dudu haijamuwacha mwanadada chemical salama!
muonekano mpya wa rapa chemical
muonekano wa zamani wa rapa chemical