Rapa Chemical aachana na utomboy na sasa kawa Beyonce

Rapa Chemical aachana na utomboy na sasa kawa Beyonce

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
Mwana dada chemical asiyekuwa na mpinzani kunako ulingo wa hip hop kwa upande wa kina dada tanzania ameamuwa kutoka kwenye utomboy na sasa amekuwa na muonekano wa beyonce. Inasemekana baada ya msanii mwenzake "stereo" ambaye anahit na wimbo wake wa "mpe habari" kumtoa bikra aliyokuwa akidai kuwa nayo sasa amebadilika kabisa kimuonekano. Kweli dudu haijamuwacha mwanadada chemical salama!
20181225_337710919998445_8190422459317485568_n.jpg
muonekano mpya wa rapa chemical
19985372_1781151902176120_784094319094005760_n.jpg
18721808_736608809882660_3464065010269945856_n.jpg
muonekano wa zamani wa rapa chemical
 
"...inasemekana baada ya msanii mwenzake kumtoa bikra aliyokuwa akidai kuwa nayo sasa amebadilika kabisa kimuonekano."


Nani huyo kamtoa Bikra?
 
Tupia picha zingine akiwa kama Jike halafu unatuaminishaje kua Stereo ndo kamtoa bikra..
 
Back
Top Bottom