Rapa Lil Wayne kwa sasa anadondoka kifafa, aahirisha show baada ya kudondoka

Rapa Lil Wayne kwa sasa anadondoka kifafa, aahirisha show baada ya kudondoka

boss jamaa anaumwa huo ugonjwa kitambo tu hata rozay pia ila habari zinasikika sana sasa
 
Mkuu nanyupu,
Wayne anatokea Magnolia, New Orleans.
Na hilo tatizo alikuwa nalo kwa muda mrefu. Na kinywaji kilichopelekea tatizo hilo kinaitwa "Purple Syrup" ni maarufu sana kwa watu wa Down South (New Orleans, Texas, Atlanta, Mississippi etc). Na ndio kilichoondoa uhai wa Pimp C (RIP) wa UGK ya Houston, TX.
Mimi Kama OG nimeona nikupe hili darasa dogo tu mkuu. Pamoja.
 
Kuacha unga mchezo? Sema alipumzika kwa muda.
 
Kuacha unga mchezo? Sema alipumzika kwa muda.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Hakuna kitu kibaya kama madawa ya kulevya, mnyama kutoka los Angeles licha ya kuacha na kusitisha utumiaj wa madawa ya kulevya lakin madhara yake baado yanamtesa had leo,

Mshikaji ashaacha kutumia madawa lakin hayakumuacha salama baada ya kumuachia tatizo la kuwa anadondoka kifafa

Jana alikuwa na show huko carifonia lakin haikufanyika baada ya mchiz kudodonka jukwaan kitu kilichopelekea show kuarishwa
View attachment 581362

Masela achen bang sio nzur

Niungane na makonda

Pole chid benz

Wote kwa pamoja tusimame kupiga vita madawa ya kulevya

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee kijana wa makinikia acha kukurupuka, kama mlivyokurupuka kutengeneza fake news kuwa Trump kamsifia magfool then unaleta taarifa za vibaraza vya lumumba kwa jambo usilolijua kiundani. Ukuku unakusumbua...
 
Mkuu nimejitahidi kusoma kwa umakini nielewe una maanisha nini ila nimekwama kidogo carifonia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee kijana wa makinikia acha kukurupuka, kama mlivyokurupuka kutengeneza fake news kuwa Trump kamsifia magfool then unaleta taarifa za vibaraza vya lumumba kwa jambo usilolijua kiundani. Ukuku unakusumbua...
Aisee magufur kafikaje tena hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom