124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
It ia no joke mkuu watu wenye kifafa wanapewa aina ya mchanganiko wa bhang kule hospital hata wehu pia wanapewa hayo makitu !Hahahah dah aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It ia no joke mkuu watu wenye kifafa wanapewa aina ya mchanganiko wa bhang kule hospital hata wehu pia wanapewa hayo makitu !Hahahah dah aisee
Jiongeze bas mkuuMkuu nimejitahidi kusoma kwa umakini nielewe una maanisha nini ila nimekwama kidogo carifonia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nahisi wewe una kifafaNi aidha ana mafua au anaongea kihindi!
Hyo nyimbo hatari sana + She will, President carter, Hustler music, Blunt blown,Something you forgot & Dear AnneHapa nasikiliza Right above yupo na Drake. Sijawahi kuona rapper matata kama huyu. Mungu amlinde
Will yo future thank u 4 tha sht u'r duin 2day?
Nilikuwa sijui hili mkuuIt ia no joke mkuu watu wenye kifafa wanapewa aina ya mchanganiko wa bhang kule hospital hata wehu pia wanapewa hayo makitu !
Sent using Jamii Forums mobile app
Bhang mbona iko viziri idara nyingi tu kuna baadhi ya nchi kama wewe ni HIV positive na umeshaanza kuumwa unaruhusiwa kuvuta msuba kwa murua au kama una aina flani ya cncer hivi unavuta msuba kama pain killerNilikuwa sijui hili mkuu
watu huku wanaamini sana dumba aiseeh
Huku kwetu dumba ndo sayans, wakati wenzetu wanawaza kutengeneza madege makubwawatu huku wanaamini sana dumba aiseeh
Duh aisee umeniacha mdomo wazBhang mbona iko viziri idara nyingi tu kuna baadhi ya nchi kama wewe ni HIV positive na umeshaanza kuumwa unaruhusiwa kuvuta msuba kwa murua au kama una aina flani ya cncer hivi unavuta msuba kama pain killer
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mimi jamaa kaniacha mdomo wazNilikuwa sijui hili mkuu
Sasa Lil Wayne kwake bangi si kama chakula mbona anaanguka sasa kwa kifafa?
Jamaa nyimbo zake zote ni hatarHyo nyimbo hatari sana + She will, President carter, Hustler music, Blunt blown,Something you forgot & Dear Anne
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Hakuna kitu kibaya kama madawa ya kulevya, mnyama kutoka los Angeles licha ya kuacha na kusitisha utumiaj wa madawa ya kulevya lakin madhara yake baado yanamtesa had leo,
Mshikaji ashaacha kutumia madawa lakin hayakumuacha salama baada ya kumuachia tatizo la kuwa anadondoka kifafa
Jana alikuwa na show huko carifonia lakin haikufanyika baada ya mchiz kudodonka jukwaan kitu kilichopelekea show kuarishwa
View attachment 581362
Masela achen bang sio nzur
Niungane na makonda
Pole chid benz
Wote kwa pamoja tusimame kupiga vita madawa ya kulevya
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app