mashoodjr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2016
- 2,222
- 1,509
Mleta madam unachanganya Mambo hapa. I wanna kifafa kinaweza kumpata mtu yeyote pili bangi ni dawa nzuri sana tatu Lil Wayne tatizo lake ni kutumia aina Fulani ya dawa ya kikohozi kwa kuchanganya na Sprite Kama kinywaji na matokeo yake ni kupata kifafa mara kwa Mara.