Rapa Lil Wayne kwa sasa anadondoka kifafa, aahirisha show baada ya kudondoka

boss jamaa anaumwa huo ugonjwa kitambo tu hata rozay pia ila habari zinasikika sana sasa
 
Mkuu nanyupu,
Wayne anatokea Magnolia, New Orleans.
Na hilo tatizo alikuwa nalo kwa muda mrefu. Na kinywaji kilichopelekea tatizo hilo kinaitwa "Purple Syrup" ni maarufu sana kwa watu wa Down South (New Orleans, Texas, Atlanta, Mississippi etc). Na ndio kilichoondoa uhai wa Pimp C (RIP) wa UGK ya Houston, TX.
Mimi Kama OG nimeona nikupe hili darasa dogo tu mkuu. Pamoja.
 
Kuacha unga mchezo? Sema alipumzika kwa muda.
 
Kuacha unga mchezo? Sema alipumzika kwa muda.
 
Wee kijana wa makinikia acha kukurupuka, kama mlivyokurupuka kutengeneza fake news kuwa Trump kamsifia magfool then unaleta taarifa za vibaraza vya lumumba kwa jambo usilolijua kiundani. Ukuku unakusumbua...
 
Mkuu nimejitahidi kusoma kwa umakini nielewe una maanisha nini ila nimekwama kidogo carifonia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lil wyne hajaanza kuanguka kifafa Leo ama Jana kama unamfatilia utakua umeligundua hili..ndo maana huwa anapendelea kunywa aina flani hivi ya syrap mda wote!!
Uko sahihi lakin mimi hapo juu hakuna sehemu niliposema kuwa kaanza leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee kijana wa makinikia acha kukurupuka, kama mlivyokurupuka kutengeneza fake news kuwa Trump kamsifia magfool then unaleta taarifa za vibaraza vya lumumba kwa jambo usilolijua kiundani. Ukuku unakusumbua...
Aisee magufur kafikaje tena hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…