Unaweza kuileta hapa tukaionaMtoa mada kuna tofauti kubwa kat ya bange na madawa ya kulevyaa
Mbona madakitar wake walisema chanzo ni madawa ya kulevyaMleta madam unachanganya Mambo hapa. I wanna kifafa kinaweza kumpata mtu yeyote pili bangi ni dawa nzuri sana tatu Lil Wayne tatizo lake ni kutumia aina Fulani ya dawa ya kikohozi kwa kuchanganya na Sprite Kama kinywaji na matokeo yake ni kupata kifafa mara kwa Mara.
Tatizo wewe unaivuta japo hayo matatizo huna.Bhang mbona iko viziri idara nyingi tu kuna baadhi ya nchi kama wewe ni HIV positive na umeshaanza kuumwa unaruhusiwa kuvuta msuba kwa murua au kama una aina flani ya cncer hivi unavuta msuba kama pain killer
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Rap genius....salute kwakeHuyu jamaa napenda sana kuskiliza intervie zake.....