Rapcha anajua lakini maana ya freestyle?

Punchlines ata Msodoki anafanya tena kali tu .Me nazungumzia freestyle wachane kuhusu kitu flani
Haujanielewa na itachukua muda kunielewa I'm talking about punchlines sio bwatu bwatu, umenipata bwatu bwatu Kitengo sawa Ila punchlines hana na sisi tunaangalia ukali wa msanii wa rap kwa punchlines sio bwatu bwatu, bado haujaelewa?
 
Freestyle tafsiri yake nyingine ni mashairi yenye mada mchanganyiko.
Yenye mpangilio wa mizani na vina, sio unabwatabwata tu mizani na vina havionekani tho kuna mashairi yasiyo na vina Ila rap tunaangalia vina lazima ujue hilo, mpangilio wa story yako na kile unachochana au yule unaemchana je! vinaendana?,
 
Yenye mpangilio wa mizani na vina, sio unabwatabwata tu mizani na vina havionekani tho kuna mashairi yasiyo na vina Ila rap tunaangalia vina lazima ujue hilo, mpangilio wa story yako na kile unachochana au yule unaemchana je! vinaendana?,
Acha bange
 
Punguza bangi wee.

Jadili kwa hoja usiwe kama mpumbavu.

Kama unapenda kusoma nikutumie PhD thesis kuhusu bongo hiphop usome waliofikisha hapa hui mziki bongo.

Usitukane tukane watu humu hovyo inaonesha namna unavyoshindwa hoja na ishara ya ujinga.
 
Nimelia sana ndugu yangu , niliposoma kipande kihiki kutoka kwa wataalamu wa kazi.
 
Nenda kamuulize Salehe Jabir atakupa historia ya mziki bongo especially rap, now stick this finger to your ass na muache kutukana na kutokuwaheshimu waliowatangulia

Nikki Mbishi alisema

"Sele atabaki Afande Mfalme Hashim Dogo"

Ila haikua kimhemko km mnavyofanya nyinyi, ntakuongeza lingine muone
 
Watasikika Kwa media ipi Sasa?, maneno meeengi. Zamani ilikuwa kama una kipaji ndo utasikika, tofauti na Sasa trend generation
 
Watasikika Kwa media ipi Sasa?, maneno meeengi. Zamani ilikuwa kama una kipaji ndo utasikika, tofauti na Sasa trend generation
Waambie hawa madogo hawaelewi, sasa hivi wanapoiona globalization imechukua nafasi wanadhani kipindi hicho ni sawa na sasa, kipindi hicho ukipanda stage watu hawakuelewi unapigwa makopo ushuke watu hawataki ujinga unalishwa na mabanzi kabisa sio siku hizi vistudio uchwara vimetapakaa kila nyumba kuna msanii kila nyumba kuna producer,
 
Bila kumsahau nyamayao n'a kibakuli
 
Saigon alikuwa mzuri kuliko Ngwea? Bro unaota au?
Saigon alikuwa kwenye media 24 hrs that why wanasema Saigon mkali 🤣 ila Clip za Ngwea ana clip mbili au tatu ambazo zipo youtube . Ila angekuwa shobo na media angemkubali
 
Ngwair alikuwa wakawaida sana
 
Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa

Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle

Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru?


Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI

wengine acheni izo mnajivua nguo
Unamjua ngwea wewe
 
Unju bin unuq is my best freestyle arist of all times..ukiwa na ubongo wa panzi huwezi kumuelewa. Lyrics zake zinahitaji akili kubwa sna kuweza kumuelewa.yuko deep sana.chidbenz,ngwair,godzillah wote uwezo wao unalingana maybe saigon anavitu flani adimu kama Nikki mbishi~Unju
 
Ni mtazamo zamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…