Kwa hio Kado Kitengo, Disasta Vina, Boshoo, Nacha, Mbeya Boy Chuma na Black Mc ndio mnaowaona wana mashairi magumu kumzidi Ngwair au sio?
Madogo mnazingua mnazingua mnazingua madogo hamna heshima, hivi unaelewa maana ya freestyle kwanza? Unaielewa misingi hiphop na rap ipoje na ni ipi au unaropoka tu?
Wote niliowamention hapo juu wanabwata bwata tu sijaona rapper kidooogo ukiniambia Mbeya Boy Chuma anarap nitakuelewa hao wengine sijawaelewa wanarap nini, rap ni mtiririko na mpangilio wa mashairi yanayoeleweka narudia tena rap ni mtiririko na mpangilio wa mashairi yanayoeleweka, niambie Ngwair katika kurap kwake hukuwahi kumuelewa anarap nini na media zilikua zinapiga Ngoma zake top 10 alikua anafika mpaka namba 1 leo wewe dogo umemaliza la 7 juzi unaleta dharau za ki-wack humu?
Niambie huyo Cado Kitengo au Disasta lini ameshika namba 1 top 10? Sizungumzii boomplay au stream au blog yoyote nazungumzia public radio na TV ipi ameshika namba 1 kwenye top 10? Akachana akarap watu wakamuelewa anachofanya ondoa EaRadio dakika 10 za maangamizi ipi radio nyingine inayoelewa uwepo wake au boomplay na YouTube?
Hizo jeuri na viburi za kutokuheshimu waliotangulia ndio zinafanya msifike mbali, msiposupportiwa mnaanza maneno mengi mkisupportiwa mnajifanya miamba eti unaingia booth unatunga rap line "Disasta Vina ni km JO 70" motherfackers yaan madogo mnapenda battle's za ki-wack, faaaack you