Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wale madogo island boys pia.Alianza.
METRO THUG
JUICE WRLD
KING VON
NIPSEY HUSSLE
XX TENTACION
POP SMOKE
YRN TAKEOFF
bado
TEKASHI 69
Apo kwenye hzo hajaflow sana msikilize kwenye GangGang alaf kingine uyo jamaa ndo alikuwa anavipiga vile visauti vya nyumaDah, aisee huko USA pameshindikana...RIP..kwa wale wadau wa mziki wa kufoka foka mtakumbuka kazi hizi akiwa kwenye kundi la Migos
Weka picha mkuu ili na sisi tunaoishi huku Vijijini ndani ndani tuwajue.
Hiyo ngoma ya kwanza Bad and Boujiee ndio my all time favorite ya Migos ingawa marehemu hakuingiza vocal..Tukubali tukatae Migos lilikuwa ni moja ya kundi bora kabisa kwenye muziki wa Hiphop the style they rap,swaggs,fashion walikuwa hawana mpinzani nilikuwa nakubali sana flow za TakeoffDah, aisee huko USA pameshindikana...RIP..kwa wale wadau wa mziki wa kufoka foka mtakumbuka kazi hizi akiwa kwenye kundi la Migos
Alianza.
METRO THUG
JUICE WRLD
KING VON
NIPSEY HUSSLE
XX TENTACION
POP SMOKE
YRN TAKEOFF
bado
TEKASHI 69
Kina 2pac walikufwa lini mzee!Hawa watoto wa game la hip hop wa miaka ya karibuni madawa ya kulevya yanawaharibu sana. Wanauana sana siku hizi. Contents za ovyo lakini unakuta wimbo una views 200M youtube
Ndo maana mimi mpaka leo navutiwa na game la hip hop la mpaka miaka ya 2010's mwanzoni, hawa wa siku hizi siilewi rap style yao wala contents zao