Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Sema mziki wa Migos sio wa kudis watu kabisa yaan
Boss don't speak
Narcos
T-shirt
Deadz
Slippery
Notice Me
Give no Fxk (GNf)
Stir fry
Movin too fast
Bad en Bouj etc.

Karibia zote apo wanajimwambafai tu sema ndo ivyo blacks wakuda wamemuwasha bomba sema wamemuua mchizi mpole kinoma ingekuwa offset sawa maan mwana yule ameshawahi koswakoswa kuuliwa mara kadhaa na anamabif kibao kuna kipindi alikuwa na bifu adi na marehem XXXtentacion pia Chris brown.
 
Ngoja na mimi niwe wale wa kuitafuta "American dream" 📌

Shukrani brother
 
Pop ,Lock and drop it - alikula chuma na yeye mkuu , USA rappers wanakula vyuma kila kukicha ,kwenye hiyo list ni wale waliohits ,ukisema uweke na wale underground ni hatari ni wengi mno ,kila mwenzi rapper anakula chuma.
Inahuzunisha sana
 
Ile genge yote ya akina curtis jackso na wenzie akina griff ili potezwa na 50cent...halafu kuna myth zinadai pop smoke alizidisha madawa kabla ya mission
Mkuu, mbona km umechanganya mafaili!, 50 cent jina lake halisi ni Curtis Jackson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…