Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Aliombaga ulinzi kwenye sheria maana kwa usnitch wake walimpania pia ulinzi private alikuwa anazinguana sana na bodyguards wakeHuyo dogo pamoja na mambo yake yakijinga ila anaishi kwa akili sana, akiwa kitaa hakosi ulinzi mkali
View attachment 2404492
Kama unaamini 50 CENT ni HUMAN CHRONICLES basi amini na5O cent Original alishakufa na hakua rapper, aliopo ni Copy
Ndio hivyo mkuu 50 Cent alishakufaHii naijua leo mkuu
Kabisa na wengi wako clonned ukianza na eminem, meek mill, kodak black, kanye west na wengine wengi mpaka Offset wa migos pia inasemekana yuko clonned. Wanaotuburudisha sasa ni fake rappers5O cent Original alishakufa na hakua rapper, aliopo ni Copy
Sijamaanisha ulivyomaanisha mkuuKama unaamini 50 CENT ni HUMAN CHRONICLES basi amini na
EMINEM
GUCCI MANE
RIHANNA
TYLOR SWIFT
BIRDAMAN
LIL WAYNE
DR DREE
2PAC
Hawa wote ripoti zinadai ni HUMAN CHRONICLE
Malegend walisimamia flow zenye kumuheshimisha mtu mweusi na ikapelekea kukubalika mtaani,Mtu kama J cole anatembea bila bodyguard tena na baiskeli kwa sababu anajua hana bifu na mtu,havai ornaments za kuwaringishia wengine tofauti na hawa marapa wa kisasa ambao kwanza kwenye nyimbo zao Lyrics zao ni kuhusu kuwagonga mademu za watu na kujisifia wana cheni za hela na za gharama na wanawait wenzao broke ass niggas...Hii inapelekea wenzao kuwa na chuki na kuanza kuwawinda sana target ikiwa hiyo mikufu wanayovaa na pesa wanazotembea nazo kwenye mabegiMbona machalii ndo wanakula vyuma wale malegend hawanaga bifu na watu kina jayz, kanye en the like..
Asilimia mia moja naunga mkono hojaKama unaamini 50 CENT ni HUMAN CHRONICLES basi amini na
EMINEM
GUCCI MANE
RIHANNA
TYLOR SWIFT
BIRDAMAN
LIL WAYNE
DR DREE
2PAC
Hawa wote ripoti zinadai ni HUMAN CHRONICLE
Tuwekee chief
Unaenda mitaa ya wahuni,umevaa macheni ya thamani,masaa sjui ya gharama,mfukoni una mabulungutu ya dola....
Alaf una wadis wahuni,wahuni hawawez kukuelewa aise
Ova
Kuna rapper mmoja mkongwe maaruf tu jina nmemsahau alozingumzia swala la kuuana alisema huwezi mkuta yeye na akataja marapa wengine malenged wamevaa vaaa marolex,maice ya thaman sana toka enzi hzo na hata sasa kwani yanasababisha usalama kuwa mdogo kwao na hasahasa wakiwa street kama wanavyofanya hawa rapper wa sasa show off nyingi.
Mwana kaongea ukweli mtupu
Maraper wa zamani walikuwa magangster kweli Lakin show offs ndo kitu hawafanyi maana kipindi walichopitia sio mchezo
Yes kitaa watu wamechoka halafu wanamiliki miguu ya kuku ,hawawezi kukuacha na mablingbling kibao wakati hawana kitu mfukoni.Mwana kaongea ukweli mtupu
Kipindi chao kilikuwa kigumu sana beef beef hasa sio beef za sasa za kutengeneza mchongo wa pesa.Maraper wa zamani walikuwa magangster kweli Lakin show offs ndo kitu hawafanyi maana kipindi walichopitia sio mchezo
Duh kweli mambo ni mengi aisee,huyi dogo JayDaYoungan nae kumbe alifariki duh!! Nilikuwa napitapita fb mwaka fulan nkaona page yake nikaifollow sasa kuna mpwa wangu anaitwa Jayden nkawa namuita JaydaYoungan duh kumbe mwaka huu nae kashutiwa dah!! Alikuwa mdogo sana
Mwamba kala chuma nae juzi juzi tu.Duh kweli mambo ni mengi aisee,huyi dogo JayDaYoungan nae kumbe alifariki duh!! Nilikuwa napitapita fb mwaka fulan nkaona page yake nikaifollow sasa kuna mpwa wangu anaitwa Jayden nkawa namuita JaydaYoungan duh kumbe mwaka huu nae kashutiwa dah!! Alikuwa mdogo sana
Danzel Washington aliwahi kusema black American wanadhani kuwa ma gangster ni part of the game , Hii ndio mindset inayowatesa Hawa wenzetu.pope smoke ailipgwa chuma
Nipsey kapigwa chuma
Xxxtenctation alipigwa chuma .
Hao black Americans Wana tatizo mahali
Haya hata Yg aliyasema kwenye ngoma yake mpya ya how to rob a rapper iliyotoka soon tu baada ya kifo cha pnb rock..kina lines zinasemaYes Mrangi hii sababu kubwa sana inayowaondoa hao rappers ,wanakula bata na micheni ya maana halafu wanashare location sehemu walipo ,wahuni wanatia timu na kuwapa vyuma.
Hii ni mojawapo ya comment mbaya kabisa jamii forum...Hao marapa wa new generation nyimbo nzima "i got, i got nyenyenyeee...) waacheni wafe tuu mbwa hao
Hao walikuwa wanacheza kamali saa 8 usiku ndio kukatokea sintofaham wakapigana vyumaUnaenda mitaa ya wahuni,umevaa macheni ya thamani,masaa sjui ya gharama,mfukoni una mabulungutu ya dola....
Alaf una wadis wahuni,wahuni hawawez kukuelewa aise
Ova