Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

5O cent Original alishakufa na hakua rapper, aliopo ni Copy
Kama unaamini 50 CENT ni HUMAN CHRONICLES basi amini na
EMINEM
GUCCI MANE
RIHANNA
TYLOR SWIFT
BIRDAMAN
LIL WAYNE
DR DREE
2PAC

Hawa wote ripoti zinadai ni HUMAN CHRONICLE
 
Hii naijua leo mkuu
Ndio hivyo mkuu 50 Cent alishakufa

Screenshot_20221101-224824.png


Aliepo amecopy Jina tu la 50 Cent ila 50 Cent Original alikufa kitambo sana
 
5O cent Original alishakufa na hakua rapper, aliopo ni Copy
Kabisa na wengi wako clonned ukianza na eminem, meek mill, kodak black, kanye west na wengine wengi mpaka Offset wa migos pia inasemekana yuko clonned. Wanaotuburudisha sasa ni fake rappers
 
Kama unaamini 50 CENT ni HUMAN CHRONICLES basi amini na
EMINEM
GUCCI MANE
RIHANNA
TYLOR SWIFT
BIRDAMAN
LIL WAYNE
DR DREE
2PAC

Hawa wote ripoti zinadai ni HUMAN CHRONICLE
Sijamaanisha ulivyomaanisha mkuu
 
Mbona machalii ndo wanakula vyuma wale malegend hawanaga bifu na watu kina jayz, kanye en the like..
Malegend walisimamia flow zenye kumuheshimisha mtu mweusi na ikapelekea kukubalika mtaani,Mtu kama J cole anatembea bila bodyguard tena na baiskeli kwa sababu anajua hana bifu na mtu,havai ornaments za kuwaringishia wengine tofauti na hawa marapa wa kisasa ambao kwanza kwenye nyimbo zao Lyrics zao ni kuhusu kuwagonga mademu za watu na kujisifia wana cheni za hela na za gharama na wanawait wenzao broke ass niggas...Hii inapelekea wenzao kuwa na chuki na kuanza kuwawinda sana target ikiwa hiyo mikufu wanayovaa na pesa wanazotembea nazo kwenye mabegi
 
Kama unaamini 50 CENT ni HUMAN CHRONICLES basi amini na
EMINEM
GUCCI MANE
RIHANNA
TYLOR SWIFT
BIRDAMAN
LIL WAYNE
DR DREE
2PAC

Hawa wote ripoti zinadai ni HUMAN CHRONICLE
Asilimia mia moja naunga mkono hoja
 
Unaenda mitaa ya wahuni,umevaa macheni ya thamani,masaa sjui ya gharama,mfukoni una mabulungutu ya dola....
Alaf una wadis wahuni,wahuni hawawez kukuelewa aise

Ova

Yes Mrangi hii sababu kubwa sana inayowaondoa hao rappers ,wanakula bata na micheni ya maana halafu wanashare location sehemu walipo ,wahuni wanatia timu na kuwapa vyuma.
 
Kuna rapper mmoja mkongwe maaruf tu jina nmemsahau alozingumzia swala la kuuana alisema huwezi mkuta yeye na akataja marapa wengine malenged wamevaa vaaa marolex,maice ya thaman sana toka enzi hzo na hata sasa kwani yanasababisha usalama kuwa mdogo kwao na hasahasa wakiwa street kama wanavyofanya hawa rapper wa sasa show off nyingi.

Ice T ndiyo alisema hivyo mkuu.

ICET.jpg
 
Duh kweli mambo ni mengi aisee,huyi dogo JayDaYoungan nae kumbe alifariki duh!! Nilikuwa napitapita fb mwaka fulan nkaona page yake nikaifollow sasa kuna mpwa wangu anaitwa Jayden nkawa namuita JaydaYoungan duh kumbe mwaka huu nae kashutiwa dah!! Alikuwa mdogo sana
Mwamba kala chuma nae juzi juzi tu.
 
pope smoke ailipgwa chuma
Nipsey kapigwa chuma
Xxxtenctation alipigwa chuma .


Hao black Americans Wana tatizo mahali
Danzel Washington aliwahi kusema black American wanadhani kuwa ma gangster ni part of the game , Hii ndio mindset inayowatesa Hawa wenzetu.
 
Yes Mrangi hii sababu kubwa sana inayowaondoa hao rappers ,wanakula bata na micheni ya maana halafu wanashare location sehemu walipo ,wahuni wanatia timu na kuwapa vyuma.
Haya hata Yg aliyasema kwenye ngoma yake mpya ya how to rob a rapper iliyotoka soon tu baada ya kifo cha pnb rock..kina lines zinasema

“Peep game, I’ma teach you how to rob a rapper / Catch a n-gga lackin’, he slackin’ on IG Live / He gon’ show his whereabouts on accident, he be high / He gon’ show the jewels he wearin’ and the car that he drive,

 
Back
Top Bottom