Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Yes Mrangi hii sababu kubwa sana inayowaondoa hao rappers ,wanakula bata na micheni ya maana halafu wanashare location sehemu walipo ,wahuni wanatia timu na kuwapa vyuma.
Si unajua verse zao zile,sjui mm nna hela naweza wafanya lolote
Naendesha gari kali, napata madem wa kali....masela kitaani hawaelewi

Ova
 
Kwakweli kifo tupo nacho karibu ni jinsi tu siku ya kufika ndo hujui, apumzike kwa amani, tuwe tayari kuondoka katika dunia hii tukiwa tumejitayarisha
 
Ukicheki ile video Walikuwa wanabishania basketball...jamaa akaamua amshuti

Warekebishe sheria zao za kumiliki vyuma , mtu anakurupuka asubuhi tu anaenda malls ananunua mashine bila haka kupimwa kama akili yake ipo sawa ,sasa ubishi wa basketball ndio unaua mtu?
 
Masikini weeh ninavowapenda Migos[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kundi la migos lilivurugika baada ya offset kujitoa wakabaki wawili na mmoja ndo huyo kadanja dah

Ngoma zao nilikua naskiliza sana nikiwa shule zikawa zinanifanya nisahau msoto wa shule

Rest easy Takeoff [emoji174]
 
Offset na yeye🙌
Yani Takeoff bn amekufa kifo cha kusikitisha na kinyama sana

Rest in Paradise Takeoff
 
Kundi la migos lilivurugika baada ya offset kujitoa wakabaki wawili na mmoja ndo huyo kadanja dah

Ngoma zao nilikua naskiliza sana nikiwa shule zikawa zinanifanya nisahau msoto wa shule

Rest easy Takeoff [emoji174]
Hivi offset bado anatoka na Card B?
 
Kweli mkuu
Kundi la migos lilivurugika baada ya offset kujitoa wakabaki wawili na mmoja ndo huyo kadanja dah

Ngoma zao nilikua naskiliza sana nikiwa shule zikawa zinanifanya nisahau msoto wa shule

Rest easy Takeoff [emoji174]
Kweli mkuu hata mimi nikiwa school walinikosha sana enzi hizo wanatamba na versace,t shirt,bad n boujue,
 
Kweli mkuu
Kweli mkuu hata mimi nikiwa school walinikosha sana enzi hizo wanatamba na versace,t shirt,bad n boujue,
Dah walitupa burudani sana

Sasa hiyo ngoma ya bad n boujee ina mashup yake wameimba na xxxtentacion ni bonge la dude nenda kaiskilize mkuu

We nenda Youtube search migos&xxxtentacion-look at me bad and boujee mashup

Fungulia mziki mnene kwenye subwoofer ndo utaenjoy hiyo ngoma

Enzi za high school ngoma zao kama narcos,cocoon,danger na nyingine zilinifanya nione kama nipo mamtoni Usa kumbe nilikua bwenini

Ila inasikitisha sana juzi tu wameachia video ya ngoma yao mpya inaitwa messy nayo ni ngoma kali afu ndo mchizi anakufa duh

Rest easy champ
 
Back
Top Bottom