Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Yah alifariki. Kumbe wewe ni mfatiliaji mzuri wa muziki wa HipHop, Ukipata muda uwe unaingia forum ya ktt2.com kule habari zinapostiwa mapema kabisa.Wowww kumbe Trouble is dead!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah alifariki. Kumbe wewe ni mfatiliaji mzuri wa muziki wa HipHop, Ukipata muda uwe unaingia forum ya ktt2.com kule habari zinapostiwa mapema kabisa.Wowww kumbe Trouble is dead!!
Daah madogo walokua kwenye early 20's ndo wengi.
All legends fall in makingHali inatisha wanakula vyuma bado vijana vijana wadogo sana
Hivi tekashi bado ni relevant? Huyo dogo kashapotea kama HarmorapaAlianza.
METRO THUG
JUICE WRLD
KING VON
NIPSEY HUSSLE
XX TENTACION
POP SMOKE
YRN TAKEOFF
bado
TEKASHI 69
Dah, Mkuu umechanganya madesa. Curtis Jackson ndio 50 Cent.Ile genge yote ya akina curtis jackso na wenzie akina griff ili potezwa na 50cent...halafu kuna myth zinadai pop smoke alizidisha madawa kabla ya mission
Si unajua verse zao zile,sjui mm nna hela naweza wafanya loloteYes Mrangi hii sababu kubwa sana inayowaondoa hao rappers ,wanakula bata na micheni ya maana halafu wanashare location sehemu walipo ,wahuni wanatia timu na kuwapa vyuma.
Wanajitakiaga wenyewe vifoH
Hao walikuwa wanacheza kamali saa 8 usiku ndio kukatokea sintofaham wakapigana vyuma
Ukicheki ile video Walikuwa wanabishania basketball...jamaa akaamua amshuti
Kundi la migos lilivurugika baada ya offset kujitoa wakabaki wawili na mmoja ndo huyo kadanja dahMasikini weeh ninavowapenda Migos[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Offset na yeye🙌Kundi la migos lilivurugika baada ya offset kujitoa wakabaki wawili na mmoja ndo huyo kadanja dah
Ngoma zao nilikua naskiliza sana nikiwa shule zikawa zinanifanya nisahau msoto wa shule
Rest easy Takeoff [emoji174]
Hivi offset bado anatoka na Card B?Kundi la migos lilivurugika baada ya offset kujitoa wakabaki wawili na mmoja ndo huyo kadanja dah
Ngoma zao nilikua naskiliza sana nikiwa shule zikawa zinanifanya nisahau msoto wa shule
Rest easy Takeoff [emoji174]
Kweli mkuu hata mimi nikiwa school walinikosha sana enzi hizo wanatamba na versace,t shirt,bad n boujue,Kundi la migos lilivurugika baada ya offset kujitoa wakabaki wawili na mmoja ndo huyo kadanja dah
Ngoma zao nilikua naskiliza sana nikiwa shule zikawa zinanifanya nisahau msoto wa shule
Rest easy Takeoff [emoji174]
Yeah wale sio wapenzi tu bali ni mke na mumeHivi offset bado anatoka na Card B?
Dah walitupa burudani sanaKweli mkuu
Kweli mkuu hata mimi nikiwa school walinikosha sana enzi hizo wanatamba na versace,t shirt,bad n boujue,