Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Huyu hapa mshikaji.
Well, now for whatever reason, and despite everythin', they didn't "cut it", and now dude's dead as fuc.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hapa mshikaji.
yeah ni tamaduni pureYes yes, bonge la ngoma. Hivi jMaa ni zao la tamaduni music?
Tamaduni ni noma sana. Kuna jamaa anajiita Shaolin mocker 'the man with the mask'yeah ni tamaduni pure
Obviously he had a thing for cookies36 yo and almost middle-aged rapper Mr "Young Dolph" gets his ass popped outside a cookie store?
Huyo simjui, namjua shaulin senetorTamaduni ni noma sana. Kuna jamaa anajiita Shaolin mocker 'the man with the mask'
Huyu hapaHuyo simjui, namjua shaulin senetor
Ana mikwara inaonekana
Bro vipi kuhusu XXX Tentacion??Katika generation ya trap, wasanii waliokufa nikasikitika aisee ilikua ni Jarad higgins (Juice WRLD)
Bloods na crips yapo marekani nzima na ni makundi hasimu tangu miaka ya 60 na wasanii wengi marekani wanajihusisha na hayo magenge...kwa upande mwingine hawa wauaji walikuwa wamejipanga kwa haya mauaji hawakukurupuka ndio maana hadi muda huu hawajakamatwa tofauti na wauaji wa xxxtentacion ambao wao surveillance cameras ziliwanasa mwanzo tu wakiwa wanazengeazengea kwenye duka la pikipiki ambalo pia alikuwepo xxxtentacion ktk jiji la Broward County,Florida baadae gari ambalo walikuwa nalo eneo hilo likanaswa eneo la tukio polisi wakaunganisha doti wakasema ni hawahawa na ikizingatia walipoangalia rekodi za uhalifu kulikuwa na mugshot zao kwenye kituo kikuu cha Broward county wakanaswahayo magenge si yako huko california,au!?
Inasikitisha sana blacks wanavyoua wenzao. Angalia hawa jamaa waliomuua rapper xxxtention ni madogo kabisa , miaka 20 - 22. Sijui wanapata wapi ujasiri huu. ila gang life ni mbaya sana. Dogo ndio kwanza alikuwa anaanza kufaidi matunda ya kipaji chake. Inaumiza sana.Mtawasingizia wazungu bure hawa ma black hawana tofauti na walatino mambo ya uhuni uhuni yako damuni. Madawa na bunduki ndio mambo wanayoyahusudu.
Si ajabu kauliwa na blacks wenzie.
Fresh tu
Very talented chalii, die very youngKatika generation ya trap, wasanii waliokufa nikasikitika aisee ilikua ni Jarad higgins (Juice WRLD)