Rapper Young Dolph auawa

Rapper Young Dolph auawa

marapa wa marekani maisha yao wanayoimbaga kwenye mziki kuhusu drugs, bitches, gangs huwa ni kweli kwenye real life
 
36 yo and almost middle-aged rapper Mr "Young Dolph" gets his ass popped outside a cookie store?
 
Huyo simjui, namjua shaulin senetor
Huyu hapa
IMG-20211121-WA0004.jpg
 
Mtawasingizia wazungu bure hawa ma black hawana tofauti na walatino mambo ya uhuni uhuni yako damuni. Madawa na bunduki ndio mambo wanayoyahusudu.

Si ajabu kauliwa na blacks wenzie.
 
At least huyu hajafa mdogo kama kina Juice Wrld na XXX Tentacion walokufa 20s,,Sema kinacholeta yote haya ni ruhusa ya umiliki wa silaha ovyo..Fcuk the Godamn sh!t

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
hayo magenge si yako huko california,au!?
Bloods na crips yapo marekani nzima na ni makundi hasimu tangu miaka ya 60 na wasanii wengi marekani wanajihusisha na hayo magenge...kwa upande mwingine hawa wauaji walikuwa wamejipanga kwa haya mauaji hawakukurupuka ndio maana hadi muda huu hawajakamatwa tofauti na wauaji wa xxxtentacion ambao wao surveillance cameras ziliwanasa mwanzo tu wakiwa wanazengeazengea kwenye duka la pikipiki ambalo pia alikuwepo xxxtentacion ktk jiji la Broward County,Florida baadae gari ambalo walikuwa nalo eneo hilo likanaswa eneo la tukio polisi wakaunganisha doti wakasema ni hawahawa na ikizingatia walipoangalia rekodi za uhalifu kulikuwa na mugshot zao kwenye kituo kikuu cha Broward county wakanaswa
 
Mtawasingizia wazungu bure hawa ma black hawana tofauti na walatino mambo ya uhuni uhuni yako damuni. Madawa na bunduki ndio mambo wanayoyahusudu.

Si ajabu kauliwa na blacks wenzie.
Inasikitisha sana blacks wanavyoua wenzao. Angalia hawa jamaa waliomuua rapper xxxtention ni madogo kabisa , miaka 20 - 22. Sijui wanapata wapi ujasiri huu. ila gang life ni mbaya sana. Dogo ndio kwanza alikuwa anaanza kufaidi matunda ya kipaji chake. Inaumiza sana.

3790605_071918-ktrk-xxxtentacion-indictment-vid.jpg
 
Back
Top Bottom