Rapper Young Dolph auawa

Rapper Young Dolph auawa

Alitunga wimbo kuwaimbia wasanii waliokufa wakiwa bado wana umri mdogo "What's the 27 Club? We ain't making it past 21"

27 club ni list ya wasanii waliokufa wakiwa bado hawajafika umri wa miaka 27

8830989510e788cf0c95721ec7706871.1000x1000x1.png
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]hiki kitabu sio changu kabisaa.mweeeh
 
Katika generation ya trap, kwa upande wangu naweza kusema Juice ndio msanii ambaye alikuwa lyrical achana na kina Xxxtentacion
Hapana Scars umemuonea XXXTENTACION..Juice na Xxx walifanana kariba zao wote walikuwa lyrical wakiimba kuhusu maisha halisi tofaut na hawa kina mumble rappers kina Migos,NBA Youngboy,Youngun Ace,Lil Durk na wengine amefariki huku jamii ya Broward County na Florida yote kwa ujumla ikiwa inampenda sana dogo tofaut na madogo wengine wa umri wake kina Lil peep
 
Nyimbo za triple x ambazo ni lyrical binafsi naona nizakuhesabika sana

Nyimbo za triple X nazo zielewa Kuna Hope, Bad, Sad, na kuna ile fck love akiwa na trippie redd.

lakini juice album yake yote ya legends never die haina wimbo mbaya
 
Inategemea na spirit ya jeshi lakini hata wao sio mafala...walijipanga , kama jeshi litadhamiria watawakamata tatizo Vifo vya black jeshi linakuwa slow sana
Sio tu kuwa slow hawafatilii sometimes, wanajua kama sio kudhulumiana basi madawa.. mbaya sana huu mtazamo wao kwa blacks
 
Im not racist chris brown hayupo labda usemee just let it go, stranger things na I dont die
Sisemei i am not a racist, nasemea Finally kamshirikisha Chris Brown.. Ngoma ipo ktk album hiyo umeweka picha kama DP yako
 
Naona hii inaweza kuwa ngumu maana hao wahalifu naona wamevaa gloves mikononi. Wako makini kutoacha alama.
Kama taasisi za usalama zitaamua, hata hewa waliyokuwa wakitoa inatumika. Labda kwa vile aliyekufa ni black
 
Back
Top Bottom