OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hao watoto uliwaweka namba ambazo hawastahili 1 incredible, Hashim dogo cjui Rungwe kama huyu cjawah ata sikia ngoma yake wala akiongelewa popote. Zaiid mzee wa kucopy. Cliff Mitindo mbana pua wa hiphop..list mbovu cjawah kuona. Wea is Ngwear? Mwana FA?
Jose na Saigon ni wazuri ingawa wanapungukiwa usiriaz kwenye kuandika.Jose hasa kipindi hiki anaharibu sana.Saigon anafit zaidi mitindo huru na vilingeniJose Mtambo is the most underrated MC..
1.Sugu 2.Solo Thang 3.Jay Mo 4.Prof.Jay 5.Father Nely 6.Chindo Man 7.Hashim Dogo naishia hapo sitaki kuingiza madogo wasio na vigezo,jamani rappers of all the time si mchezo
Where is Late Albert Mangwea hapo ?
Alikuwa ni jembe la hip hop balaa
sijui kwa nini Kendric anaonekana mkali.napinga sana hilo,kama Kendric ni mkali utasemaje kuhusu Marco Polo na Nasha ha ha dogo sasa hata uko mbona montana ni wakawaida tu! kule kuna kendrick kwa sasa ndo anaandka kwa zama hzi[/QUOTE
French Montana na Kendrick Lamar mbona mapula tu hao. sikiliza hawa sasa:-
YG
Lil reese
Fat trel
Chief keef
Fredo santana
Migos
Young dolph
Philthy rich
Where is Mwana FA?
Eti Juma Nature hayumo, wewe una masikhara wewe
Wapi Luteni Karama
Wapi Soggy doggy hunter
sijui kwa nini Kendric anaonekana mkali.napinga sana hilo,kama Kendric ni mkali utasemaje kuhusu Marco Polo na Nas
ha ha ha kaka vp mbna unanianguxha ndo maana nkaxema kwa
kizaz cha xaxa kendrick ndie anayefanya real hip hop haf haogop kumchana mtu na freestyle ndo kama jina hana mpinzan dunian
katafte ngoma moja kashirkishwa na big sean alvyoimba humo rappers wote dunian wakaw wanamuadmire
Sogy doggy anter.....best rapper of all times kwangu mimi...
ha ha ha xaxa juma nature anaimba hip hop??? bongo flava? au hujui bongo flava ni nn niweke nmuweke kwa kgezo cha nymbo ya mugambo wanaruk na kukanyagana????
ha ha ha level yako ya kielim inanpa wacwac.....unaish kwa kukarir