Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

1.Sugu 2.Solo Thang 3.Jay Mo 4.Prof.Jay 5.Father Nely 6.Chindo Man 7.Hashim Dogo naishia hapo sitaki kuingiza madogo wasio na vigezo,jamani rappers of all the time si mchezo
 
Hao watoto uliwaweka namba ambazo hawastahili 1 incredible, Hashim dogo cjui Rungwe kama huyu cjawah ata sikia ngoma yake wala akiongelewa popote. Zaiid mzee wa kucopy. Cliff Mitindo mbana pua wa hiphop..list mbovu cjawah kuona. Wea is Ngwear? Mwana FA?


kilaza ---- wew mziki wenyew umeujulia wap we kama humjui hashim dogo bac inatoxha kuw ww hujui lolote hip hop haf pia joh makini hana utunzi hata robo wa kuwafkia hao wa juu mzik umeanza kufatlia jana njoo uone pc yang ilvyojaa albam zao na mamix tape ya hayo majembe
 
1.Sugu 2.Solo Thang 3.Jay Mo 4.Prof.Jay 5.Father Nely 6.Chindo Man 7.Hashim Dogo naishia hapo sitaki kuingiza madogo wasio na vigezo,jamani rappers of all the time si mchezo

kuna pimbi hamjui hashim dogo aje nimpe mix tape zake au aidownload nymbo yake moja "Hashim dogo-shadow of the dark destiny"
 
ha ha ha dogo sasa hata uko mbona montana ni wakawaida tu! kule kuna kendrick kwa sasa ndo anaandka kwa zama hzi[/QUOTE

French Montana na Kendrick Lamar mbona mapula tu hao. sikiliza hawa sasa:-
YG
Lil reese
Fat trel
Chief keef
Fredo santana
Migos
Young dolph
Philthy rich
sijui kwa nini Kendric anaonekana mkali.napinga sana hilo,kama Kendric ni mkali utasemaje kuhusu Marco Polo na Nas
 
Nimeshangaa sana kukosekana Ngwea hapo. Na bila shaka alikusudia ili tumquery. Sijaona pengo la Albert likizibwa. RIP.



soma vzur playlist hyo haf acha unaz ngwea alkuw anarap aje had awe pengo? watu tuna nymbo zke zote xo tunamjua vzur
 
Mbona wengi hivyo? The greatest rappers of all the time hawawezi kuzidi watano. Sasa wewe unataja 30! Duniani hakunaga hiyo

ha ha ha level yako ya kielim inanpa wacwac.....unaish kwa kukarir
 
Albert Mangwair aka papa aka Ngwair aka mimi, hakujawai tokea na jembe kama huyu jamaa, RIP. Basi tu hakuwa serious na kifo kikamchukua mapema.
 
Eti Juma Nature hayumo, wewe una masikhara wewe
Wapi Luteni Karama
Wapi Soggy doggy hunter


ha ha ha xaxa juma nature anaimba hip hop??? bongo flava? au hujui bongo flava ni nn niweke nmuweke kwa kgezo cha nymbo ya mugambo wanaruk na kukanyagana????
 
Raking Jay Mo and Fid Q above Sugu and Jay?
It's like choosing Toyota over Bentley ! Opinion divided.
 
Mtunzi bora kwq kulinga nisha mademu ama kuangalia lipi? Hiphop asili yake ni kuongelea maisha halisi na changamoto za maisha. Prof Jizo anawakimbiza wote. Kitu chemsha bongo hata dingi yangu aliikubali wakati alikuwa mpinga hiphop.
 
sijui kwa nini Kendric anaonekana mkali.napinga sana hilo,kama Kendric ni mkali utasemaje kuhusu Marco Polo na Nas


ha ha ha kaka vp mbna unanianguxha ndo maana nkaxema kwa
kizaz cha xaxa kendrick ndie anayefanya real hip hop haf haogop kumchana mtu na freestyle ndo kama jina hana mpinzan dunian



katafte ngoma moja kashirkishwa na big sean alvyoimba humo rappers wote dunian wakaw wanamuadmire
 
ha ha ha xaxa juma nature anaimba hip hop??? bongo flava? au hujui bongo flava ni nn niweke nmuweke kwa kgezo cha nymbo ya mugambo wanaruk na kukanyagana????


Wewe nenda kasikilize bolingo.
Sasa hizo xx ndo upuuzi gani?
 
Back
Top Bottom