St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
sijui kwa nini Kendric anaonekana mkali.napinga sana hilo,kama Kendric ni mkali utasemaje kuhusu Marco Polo na Nas
Unajua nyumbani(Tanzania) tunapenda sana nyimbo zilizokuwa zina upole kama tabia zetu, na ndio uimbaji wa huyu Kendrick Lamar. Pia tunapenda midundo ya KiJamaica,Nigeria na South Africa. Na hata hiphop zinazopigwa Club nyingi za Tz zile za zamani hawaendi na wakati nyimbo ikitoka iwe inapigwa Club. na wakati kuna apps kibao tu wimbo unatoka leo umeupata.
Unavuta nini?
kilaza ---- wew mziki wenyew umeujulia wap we kama humjui hashim dogo bac inatoxha kuw ww hujui lolote hip hop haf pia joh makini hana utunzi hata robo wa kuwafkia hao wa juu mzik umeanza kufatlia jana njoo uone pc yang ilvyojaa albam zao na mamix tape ya hayo majembe
Raking Jay Mo and Fid Q above Sugu and Jay?
It's like choosing Toyota over Bentley ! Opinion divided.
ha ha ha anachoimba anakijua mwnyew
ha ha ha kaka vp mbna unanianguxha ndo maana nkaxema kwa
kizaz cha xaxa kendrick ndie anayefanya real hip hop haf haogop kumchana mtu na freestyle ndo kama jina hana mpinzan dunian
katafte ngoma moja kashirkishwa na big sean alvyoimba humo rappers wote dunian wakaw wanamuadmire
Umenifanya niisikilize lakini nimeshindwa kuimaliza jinsi ilivyokuwa boring.
Kwa vijana wa sasa namuona dogo janja kama angeendelezwa angefuata nyao,, madee hiphop imemshinda lakini aliiweza,, jose mtambo bado anasukuma gurudumu, Fa is the best kwa sasa... Bado vijana wengi wa sasa hawajaiujua hiphop na wanafikili hiphop kupiga kelele mfano Roma na fid q,, namuona Mansurii kwa sasa anakwenda vizuri lakini ndio hivyo tena promo hakuna kwa kuwa watu muziki hawaujui na baadala yake wapiga kelele wanawekwa mbele..
Unawezaje kumsahau SALEH JABIR katika hiyo listi yako?KUTOKANA NA KUFATILIA HIP HOP KWANGU KWA MZIKI WA MAHADHI HAYO NCHINI TANZANIA KWA MUDA WOTE NALETA MARAPPER NA WAANDISHI BORA KWA MUDA WOTE :
1. JAY MOE
2. FID Q
3. PR. JAY
4. SUGU
5. FATHER NELLY
6. HASHIM DOGO/SAIGON
7. STOPPER RHYMES
8. LANGA KILEO(hayati)
9. NIKKI MBISHI/SOLO THANG
10. BONTA/NASH MCEE
11. ONE INCREDIBLE
12. JCB
13. SONGA
14. NIKKI II
15. LORD EYEZ
16. G NAKO
17. ZAIID/P THE MCEE
18. CHINDO
19. JOH MAKINI/MWANA FA
20. MANSU LEE
21. ZILLAX/ARBERT MANGWEAR(hayati)
22. STAMINA
23. R.O.M.A
24. WAKAZI
25. STEREO
26. DARASA
27. MABESTE
28. JOSE MTAMBO
29. CLIF MITINDO(atakuja kusumbua sana sababu flow zake tamu sana kiukweli)
30. Loading........98.9%(pongwer new rapper)
NOTE:
TOA MAONI YAKO ILA KWA UPANDE WANGU MIMI MTAYARISHAJI WA PLAYLIST HII HAYO NDO MAWE YANGU NA WAPO KTK NAFASI ZAO PASIPO UPENDELEO "WOWOTE" NA SIDHANI KUNA ATAKAYEKOSOA WAPO KTK MSIMAMO HUO KUTOKANA NA UWEZO WAO WA UTUNZI WA MASHAIRI YA KI-HIP HOP!
Ahsantenii.........
*Afande sele namkubali ila sina hakika anaimba mahadhi gani maana yeye na mpoto waje kutuambia wanaimba nini !wanachanganya kwa kweli !