St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
sijui kwa nini Kendric anaonekana mkali.napinga sana hilo,kama Kendric ni mkali utasemaje kuhusu Marco Polo na Nas
Unajua nyumbani(Tanzania) tunapenda sana nyimbo zilizokuwa zina upole kama tabia zetu, na ndio uimbaji wa huyu Kendrick Lamar. Pia tunapenda midundo ya KiJamaica,Nigeria na South Africa. Na hata hiphop zinazopigwa Club nyingi za Tz zile za zamani hawaendi na wakati nyimbo ikitoka iwe inapigwa Club. na wakati kuna apps kibao tu wimbo unatoka leo umeupata.