Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Alipigwa ila hakufa yupo hai nitaendelea kuamini hiyo milele japo huo nwaka anapigwa risasi nilikuwa kijana na qkili zangu tena shabiki wake nambaari one
Tupac alishakufa kitambo kwa kupigwa risasi achana na propaganda zinazoendelea
 
Kuna wimbo wa Joyner Lucas unaitwa Ross Cappuccin una majibu kuhusu vifo vya hao marapper
 
Jay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.

Na makundi yanawalinda vilevile pamoja na kwamba yanawaumiza. Maisha yao ya ovyo, wakati YSL wanapanga kumuua YFN Lucci naye alikuwa na genge lake. Wote hawa wako jela mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO charges.

Na uhuni wa kipuuzi ilimradi kuuishi ugangster. YNM Melly kafunguliwa mashtaka kwa kumuua rafiki yake na kumuendesha hadi kwenye mamlaka akidai sijui wamevamiwa. Wakaja tumia nyimbo zake mbili kuconnect dots kilichoimbwa na kilichofanyika. NBA Youngboy yuko kifungo cha nyumbani kwa kosa gani sijui lilikuwa. Last month Tory Lanez niliona mzee wake anafoka mahakamani baada ya mwanae kukutwa na hatia ya kutumia silaha dhidi ya Cardi B.
Wanaforce uhuni
RICO Act ni hatari sana.
Niliijua baada ya kuangalia zile files za FBI zilikua zinaitwa FBI files ikiwemo ya kumtupa John Gotti jela na mobsters/mafia bosses kibao
 
📌 Bankroll Fresh 2016, age 28 📌 Chinx 2015, age 31 📌 Doe B 2013, age 22 📌 Slim Dunkin 2011, age 24 📌 Huddy 6 2011, age 35 📌 Nate Dogg 2011, age 41 📌 Stack Bundles 2007, age 24 📌 Pimp C 2007, age 33 📌 Soulja Slim 2003, age 26 📌 Mac Dre 2004, age 34 📌 Camoflauge 2003, age 21 📌 Bugz 1999, age 21 📌 Tupac Shakur 1996, age 25 📌 The Notorious B.I.G. 1997, age 24 📌 Jam Master Jay 2002, age 37 📌 Freaky Tah 1999, age 27 📌 Proof 2006, age 32 📌 Magnolia Shorty 2010, age 28 📌 Lil Phat 2012, age 19 📌 Speaker Knockerz 2014, age 19 📌 Bankroll PJ 2015, age 20 📌 Bankroll Gambino 2017, age 25 📌 Jimmy Wopo 2018, age 21 📌 Young Greatness 2018, age 34 📌 XXXTentacion 2018, age 20 📌 Nipsey Hussle 2019, age 33 📌 Pop Smoke 2020, age 20 📌 King Von 2020, age 26 📌 FBG Duck 2020, age 26 📌 Lil Loaded 2021, age 20 📌 SpotemGottem 2021, age 19 📌 Young Dolph 2021, age 36 📌 DMX 2021, age 50 📌 Lil Loaded 2021, age 20 📌 Jim Jones 2022, age 45 📌 Fredo Santana 2018, age 27 📌 Lil Snupe 2013, age 18 📌 Big L 1999, age 24 📌 Big Hawk 2006, age 36 📌 Magnolia Shorty 2010, age 28 📌 VL Mike 2008, age 32 📌 Lil Lonnie 2018, age 22 📌 DJ Uncle Al 2001, age 32 📌 JMJ 2002, age 37 📌 YNW Melly 2022, age 23 📌 Speaker Knockerz 2014, age 19
📌 Big paybacc 2014, age 38 📌 Bankroll fresh 2016, age 28 📌 Kyyngg 2016, age 22 📌 Shawty Lo 2016, age 40 📌 Doe B 2013, age 22 📌 Lil Jojo 2012, age 18 📌 Lil Snupe 2013, age 18 📌 Dex Osama 2015, age 26 📌 Chinx 2015, age 31 📌 Speaker Knockerz 2014, age 19 📌 Lil Phat 2012, age 19 📌 Slim Dunkin 2011, age 24 📌 Bankroll PJ 2021, age 24 📌 King Von 2020, age 26 📌 Huey 2020, age 32 📌 FBG Duck 2020, age 26 📌 Lil Loaded 2021, age 20 📌 MO3 2020, age 28 📌 Marlo 2021, age 30 📌 SpotemGottem 2021, age 19 📌 Lil Durk's brother OTF DThang 2021, age 32 📌 Pop Smoke's associate Mike Dee 2020, age 21 📌 9lokkNine's associate Hotboii's brother 2021, age 23 📌 KTS Dre 2021, age 31 📌 Nardo Wick's associate Cutty Banks 2021, age 20 📌 King Von's associate Louie 2021, age 24 📌 Lil Reese's associate Lil Jeff 2021, age 19 📌 Lil Loaded's associate Savage Boosie 2021, age 20 📌 MO3's associate Lil Lonnie 2021, age 22 📌 Fredo Bang's associate Lit Yoshi 2021, age 21 📌 Lil Nas X's father R.L. Stafford 2021, age 50 📌 42 Dugg's associate Marley G 2022, age 18 📌 600Breezy's associate Edai 600 2022, age 26 📌 Quando Rondo's associate Lul Timm 2022, age 19 📌 DDG's associate 2KBABY's cousin 2022, age 16 📌 Fivio Foreign's associate Rich The Kid's brother 2022, age 27 📌 TEC's associate Gee Money's brother 2022, age 28 📌 Lil Baby's associate 42 Dugg's brother 2022, age 22 📌 Polo G's associate Lil Moe 6Blocka 2022, age 20 📌 Kodak Black's associate Jackboy's friend 2022, age 21 📌 Lil Uzi Vert's associate Luv Is Rage's cousin 2022, age 25 📌 YNW Melly's associate YNW Sakchaser 2022, age 19 📌 Gunna's associate Lil Duke's brother 2022, age 28 📌 Young Thug's associate T-Shyne 2022, age 27 📌 Lil Tecca's associate Piru 2022, age
Most of these young cats siwajui, it is sad how they end up catching bullets and kiss goodbye to this beautiful life just like that. Nimekuta hii kipande youtube kuhusu huyu bankroll fresh, its total madness
 
Most of these young cats siwajui, it is sad how they end up catching bullets and kiss goodbye to this beautiful life just like that. Nimekuta hii kipande youtube kuhusu huyu bankroll fresh, its total madness
Noma sana lifestyle yao na ustar mwingi
 
RICO Act ni hatari sana.
Niliijua baada ya kuangalia zile files za FBI zilikua zinaitwa FBI files ikiwemo ya kumtupa John Gotti jela na mobsters/mafia bosses kibao
Uliangalia kama documentary au ?
 
Uliangalia kama documentary au ?
Yes, ni documentaries zilizokua zinatengenezwa na FBI kuonyesha jinsi wanavyokamata wahalifu walioshindikana.

Ziko you tube, andika tu FBI files zitakuja episodes zote utaangalia. Ni hatari tupu.
Angalia hii
 
Yes, ni documentaries zilizokua zinatengenezwa na FBI kuonyesha jinsi wanavyokamata wahalifu walioshindikana.

Ziko you tube, andika tu FBI files zitakuja episodes zote utaangalia. Ni hatari tupu.
Angalia hii
Ngoja ntaziangalia
 
Wale sio watu, niliangalia documentary moja and of the clip wakamwonyesha 21 Savage anavyoishi, nyumba ina camera kama 100 wanaona angle zote unapoingia kutoka mbali sana, alikuwa na guns kama 50 ndani, yaani unajiuliza yote ya nini haya? lakini kumbe ni kweli jamaa wanauana kama kuku ukizubaa kidogo tuu lazima waondoke na kichwa , alionyesha makovu aliyopigwa risasi yalivyo mengi sikuamini, akaanza kuonyesha tattoos zake kwa homies wake waliouliwa nilitingisha kichwa, nakumbuka Snoop kuna time alisema alipoanza music walipokuwa wanaingia studio ilikuwa lazima uingie na timu nzima (bodyguards) full loaded la sivyo unaweza usitoke, lakini kwa murder and violent crimes Atlanta haifikii East side Chicago na East St Louis , kule ni bora uishi Manzese tuu
Niliangalia makala moja hivi ya Chicago. Jamaa akasema bora polisi akukute huna silaha. Kuliko mtu wa kundi pinzani.

Wanakuwa silaha sababu ya makundi.
 
Back
Top Bottom