Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Wale sio watu, niliangalia documentary moja and of the clip wakamwonyesha 21 Savage anavyoishi, nyumba ina camera kama 100 wanaona angle zote unapoingia kutoka mbali sana, alikuwa na guns kama 50 ndani, yaani unajiuliza yote ya nini haya? lakini kumbe ni kweli jamaa wanauana kama kuku ukizubaa kidogo tuu lazima waondoke na kichwa , alionyesha makovu aliyopigwa risasi yalivyo mengi sikuamini, akaanza kuonyesha tattoos zake kwa homies wake waliouliwa nilitingisha kichwa, nakumbuka Snoop kuna time alisema alipoanza music walipokuwa wanaingia studio ilikuwa lazima uingie na timu nzima (bodyguards) full loaded la sivyo unaweza usitoke, lakini kwa murder and violent crimes Atlanta haifikii East side Chicago na East St Louis , kule ni bora uishi Manzese tuu
Hata mimi nimeshangaa kusikia eti Atlanta inazidi Chicago, St. Louis au Memphis.
 
Gang Culture ya African-Americans.

Kiujumla US ukiwa black naturally unakuwa lazima uwe affiliated na gangs (sio wote).

So kila gang ina rival gangs, sehemu kubwa ya black youngsters US wapo kwenye gangs for protection, business (drugs and music).

So kutokea shootouts kwa gangs tofauti na ma beef mengi ni kawaida sana ndio maana wanauwana sana.
Kuna makundi ya hatari sana miongoni mwao ni kama The bloods na Crips
 
Wakuu hii ndo list ya wasanii wa hiphop waliokufa kwa kupigwa risasi
[emoji419]Scott la rock 1987,age 25
[emoji419]Paul c 1989,age 24
[emoji419]Danny de boy 1990,age 22
[emoji419]Charizma 1993,age 20
[emoji419]Stretch 1995,age 27
[emoji419]Seagram 1996,age 26
[emoji419]Tupac Shakur 1996 ,age25
[emoji419]Yaki gadafi 1996,age19

[emoji419]B.I.G 1997 ,age 24
[emoji419]Fat pat 1998 ,age27
[emoji419]Big l 1999, age24
[emoji419]Freaky tah 1999 ,age27
[emoji419]DJ uncle al 2001 age32
[emoji419]Jam master jay 2002, age37
[emoji419]Sabotage 2003 ,age29
[emoji419]Camouflage 2003 ,age21
[emoji419]Half a mill 2003 ,age 30
[emoji419]Soulja slim 2003 ,age 26
[emoji419]Mac dre 2004 ,age 34
[emoji419]Blade icewood 2005 ,age 28
[emoji419]Proof 2006, age 32
[emoji419]Big hawk 2006,age 36
[emoji419]Vl mike 2008 ,age 32
[emoji419]Dolla 2009,age 21
[emoji419]Magnolia shortly 2010 ,age 28
[emoji419]Lil snupe 2013,age 18
[emoji419]Doe B 2013 ,age 22
[emoji419]XXX tentacion 2018 ,age 20
[emoji419]Nipsey hussle 2019,age 33
[emoji419]Pop smoke 2020 ,age 20
[emoji419]Takeoff 2022, age 28
[emoji419]AKA 2023 ,age 35
View attachment 2535694
Huyo wa kike ni nani
 
Back
Top Bottom