Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Yaani wengi wanachezea 20s tu?!

Waliofika 30s wachache kwenye hiyo list yako.

Hayo sio maisha, ni upumbavu tu.
 
Sikuwahi kujua kama Yaki Khadaffi na Freak Tah wameshakufa na waliuawa kwa risasi..
Kadafi Alipigwa risasi ya kichwa na cousin yake Napolean (Kadafi's and Tupac band mate), inasemekana ni kwa ajiri ya wivu , alifungwa only 4 years kwa kukosekana ushahidi maana watu waliokuwa wanajua walikataa kutoa ushahidi kwa kuogopa retaliation (another stupid black culture), Kadafi alikuwa only 19 na muuaji alikuwa 16 years old, cha kusikitisha alipotoka gerezani aliua mtu mwingine tena na sasa amefungwa maisha huko Virginia
 
Drake nae anahisiwa kuwa kamuua kule dogo xxxten
Huyu dogo nilikuwa namsikia ila sikuwahi kumfuatilia wala kusikia wimbo wake hata mmoja maana nilidhani ni muble rapper. Bwana leo nikasikiliza ngoma moja imekuwa suggested kwangu na YT aisee nimekuta nasikiliza nyimbo zake karibu zote na nimefall in love na jinsi anavyoimba style ye depression and alienation. ngoma zake kali sana kuna moja inaitwa numb imestick kwenye kichwa hasa ile guiter na drums kama za rock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…