maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Jay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.Kama umewahi kukutana na black americans hapa Bongo utagundua ni watu wenye self hate, wana-inferiority complex na pia ni wakorofi sana.
Sasa nafikiri hizo attitude na gangs affiliations zinapelekea wao kumalizana sana.
Namkubali sana JAY Z sababu ni rapper anayejitambua sana yuko focused na ukimueka na marapper watano utagundua jamaa ni kama presidential rapper yaani rapper flani mshua ambaye amefocus keenye music na business.
Tofauti na wale wa 'i sniff crackers, fu*k bichez and bang shoot em Niggaz'
Zamu yake yaja, huyo ndio mafia mwenyewe hadi Kanye alisharopoka kuwa najua nimecross line kuropoka ya chumbani na natambua unamiliki watu wabAya.Namkubali sana JAY Z
Atakayemuua JAY Z ni uzee na umeshaingia mambo ya Bang bang yameshampitaZamu yake yaja, huyo ndio mafia mwenyewe hadi Kanye alisharopoka kuwa najua nimecross line kuropoka ya chumbani na natambua unamiliki watu wabAya.
Naongelea kesi na shutuma za waziAtakayemuua JAY Z ni uzee na umeshaingia mambo ya Bang bang yameshampita
Jamii iliyoshindwa kustaarabika kabisa, uhuni na uhalifu ndio maisha waliyochagua ndani ya taifa kubwa lenye fursa nyingi za maisha.Jay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.
Na makundi yanawalinda vilevile pamoja na kwamba yanawaumiza. Maisha yao ya ovyo, wakati YSL wanapanga kumuua YFN Lucci naye alikuwa na genge lake. Wote hawa wako jela mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO charges.
Na uhuni wa kipuuzi ilimradi kuuishi ugangster. YNM Melly kafunguliwa mashtaka kwa kumuua rafiki yake na kumuendesha hadi kwenye mamlaka akidai sijui wamevamiwa. Wakaja tumia nyimbo zake mbili kuconnect dots kilichoimbwa na kilichofanyika. NBA Youngboy yuko kifungo cha nyumbani kwa kosa gani sijui lilikuwa. Last month Tory Lanez niliona mzee wake anafoka mahakamani baada ya mwanae kukutwa na hatia ya kutumia silaha dhidi ya Cardi B.
Wanaforce uhuni
ReallyHizi wiki mbili niliamua nisome vitabu vya hawa watu..nimeshasoma cha prodigy wa mobb deep na nimesoma cha labyrinth...kinachongelea LAPD NA Uchunguzi wa 2pac and Big aisee ni hatari sana hawa jamaa....yaani kitu kidogo tu unaeza kuuawa
Amen[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]May their souls rest in peace
Kweli watu weusi hicho kitu kimewashindaJamii iliyoshindwa kustaarabika kabisa, uhuni na uhalifu ndio maisha waliyochagua ndani ya taifa kubwa lenye fursa nyingi za maisha.
Vichwa vya mkaa au machugwa[emoji23][emoji23][emoji23]Vyanzo vya uhuni na peer-pressure za kisenge kwa vijana wasiojitambua duniani... hasa hawa vichwa mkaa na vichwa mchungwa kutoka Afrika.
Hizo harakati ashatoka hukoAtakayemuua JAY Z ni uzee na umeshaingia mambo ya Bang bang yameshampita
Jay z kumbe na yeye ni moto?Zamu yake yaja, huyo ndio mafia mwenyewe hadi Kanye alisharopoka kuwa najua nimecross line kuropoka ya chumbani na natambua unamiliki watu wabAya.
Wamiliki wa Labels wanajua ukweli mwingi kuhusu vifo hivi.
Hatari sanaJay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.
Na makundi yanawalinda vilevile pamoja na kwamba yanawaumiza. Maisha yao ya ovyo, wakati YSL wanapanga kumuua YFN Lucci naye alikuwa na genge lake. Wote hawa wako jela mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO charges.
Na uhuni wa kipuuzi ilimradi kuuishi ugangster. YNM Melly kafunguliwa mashtaka kwa kumuua rafiki yake na kumuendesha hadi kwenye mamlaka akidai sijui wamevamiwa. Wakaja tumia nyimbo zake mbili kuconnect dots kilichoimbwa na kilichofanyika. NBA Youngboy yuko kifungo cha nyumbani kwa kosa gani sijui lilikuwa. Last month Tory Lanez niliona mzee wake anafoka mahakamani baada ya mwanae kukutwa na hatia ya kutumia silaha dhidi ya Cardi B.
Wanaforce uhuni
Nipsey Hussle alisema ukweli kipindi Anamalizia Ngoma take ya mwisho Kabla ya kuuliwa ( Racks in the middle) kuwa bug Fish wanauwa kudabo mauzo mana mtu akiuliwa au kufa mauzo anaenda mbali kuliko kawaida.Hao ndio wana sponsor mauaji kwa sababu za kibiashara.
Mtu kama pop smoke wakati anatoka tu ndio kauliwa. Ule msauti wake na style yake kama angeishi ishi muda mrefu lebo za washindani wa lebo yake zingepata shida sana sokoni