Jay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.
Na makundi yanawalinda vilevile pamoja na kwamba yanawaumiza. Maisha yao ya ovyo, wakati YSL wanapanga kumuua YFN Lucci naye alikuwa na genge lake. Wote hawa wako jela mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO charges.
Na uhuni wa kipuuzi ilimradi kuuishi ugangster. YNM Melly kafunguliwa mashtaka kwa kumuua rafiki yake na kumuendesha hadi kwenye mamlaka akidai sijui wamevamiwa. Wakaja tumia nyimbo zake mbili kuconnect dots kilichoimbwa na kilichofanyika. NBA Youngboy yuko kifungo cha nyumbani kwa kosa gani sijui lilikuwa. Last month Tory Lanez niliona mzee wake anafoka mahakamani baada ya mwanae kukutwa na hatia ya kutumia silaha dhidi ya Cardi B.
Wanaforce uhuni