Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Kama umewahi kukutana na black americans hapa Bongo utagundua ni watu wenye self hate, wana-inferiority complex na pia ni wakorofi sana.

Sasa nafikiri hizo attitude na gangs affiliations zinapelekea wao kumalizana sana.

Namkubali sana JAY Z sababu ni rapper anayejitambua sana yuko focused na ukimueka na marapper watano utagundua jamaa ni kama presidential rapper yaani rapper flani mshua ambaye amefocus keenye music na business.

Tofauti na wale wa 'i sniff crackers, fu*k bichez and bang shoot em Niggaz'
Jay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.

Na makundi yanawalinda vilevile pamoja na kwamba yanawaumiza. Maisha yao ya ovyo, wakati YSL wanapanga kumuua YFN Lucci naye alikuwa na genge lake. Wote hawa wako jela mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO charges.

Na uhuni wa kipuuzi ilimradi kuuishi ugangster. YNM Melly kafunguliwa mashtaka kwa kumuua rafiki yake na kumuendesha hadi kwenye mamlaka akidai sijui wamevamiwa. Wakaja tumia nyimbo zake mbili kuconnect dots kilichoimbwa na kilichofanyika. NBA Youngboy yuko kifungo cha nyumbani kwa kosa gani sijui lilikuwa. Last month Tory Lanez niliona mzee wake anafoka mahakamani baada ya mwanae kukutwa na hatia ya kutumia silaha dhidi ya Cardi B.
Wanaforce uhuni
 
Jamii iliyoshindwa kustaarabika kabisa, uhuni na uhalifu ndio maisha waliyochagua ndani ya taifa kubwa lenye fursa nyingi za maisha.
 
Jay Z ni mzaliwa wa Brooklyn na hilo limembeba sana kwenye career yake. Ana tofauti kubwa na wahuni wazaliwa wa hasa Atlanta kina Future, Lil Baby, PrayBoi Carti, Young Thug na Young Stoner Life yake ambalo lote ni genge la wahuni. Atlanta imejaa wahuni na ndio inatoa rappers wengi.

Na makundi yanawalinda vilevile pamoja na kwamba yanawaumiza. Maisha yao ya ovyo, wakati YSL wanapanga kumuua YFN Lucci naye alikuwa na genge lake. Wote hawa wako jela mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO charges.

Na uhuni wa kipuuzi ilimradi kuuishi ugangster. YNM Melly kafunguliwa mashtaka kwa kumuua rafiki yake na kumuendesha hadi kwenye mamlaka akidai sijui wamevamiwa. Wakaja tumia nyimbo zake mbili kuconnect dots kilichoimbwa na kilichofanyika. NBA Youngboy yuko kifungo cha nyumbani kwa kosa gani sijui lilikuwa. Last month Tory Lanez niliona mzee wake anafoka mahakamani baada ya mwanae kukutwa na hatia ya kutumia silaha dhidi ya Cardi B.
Wanaforce uhuni
Hatari sana
 
Hao ndio wana sponsor mauaji kwa sababu za kibiashara.

Mtu kama pop smoke wakati anatoka tu ndio kauliwa. Ule msauti wake na style yake kama angeishi ishi muda mrefu lebo za washindani wa lebo yake zingepata shida sana sokoni
Nipsey Hussle alisema ukweli kipindi Anamalizia Ngoma take ya mwisho Kabla ya kuuliwa ( Racks in the middle) kuwa bug Fish wanauwa kudabo mauzo mana mtu akiuliwa au kufa mauzo anaenda mbali kuliko kawaida.
Pop Smoke Mzee wa The woo.. Dah Trap ni trap kweli
 
Back
Top Bottom