Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Hao ndio wana sponsor mauaji kwa sababu za kibiashara.

Mtu kama pop smoke wakati anatoka tu ndio kauliwa. Ule msauti wake na style yake kama angeishi ishi muda mrefu lebo za washindani wa lebo yake zingepata shida sana sokoni
Alikuwa mkali jamaa ila ndo hivyo black wajinga sana
 
"mwendesha mashtaka wa Atlanta wa sasa ni mkali hakawii kufyatua RICO"

yes kwa sasa Young thug na label yake ya YSL wanaface Rico charges walikamatwa member wote wa label wakawa wanaachiwa kwa Plea Deals unakiri kwamba YSL ni genge la uhalifu na sio label basi unaachiwa kungoja maamuzi mengine ya kesi.Gunna yeye alikiri wazi mahakamani kuwa Ysl ni gang

Wengi wameachiwa kabaki Young Thug ambaye kesi imemkalia vibaya majaji hadi wanasoma references ya verse zake ambazo anahamasisha uhuni na kumwambia Jeff hii ndio tabia yako na hadi unaipromote..
 
Vichwa vya mkaa au machugwa[emoji23][emoji23][emoji23]
VICHWA MKAA! NA VICHWA MCHUNGWA... HIVI UTAVIKUTA VIJIWENI NA VYUONI NA KILA MAHALA NCHINI TANZANIA. KUTWA KUJADILI NA KUBISHANA UJINGA UJINGA TU!

WAULIZE WAZIRI WA ULINZI NANI... HAWAMJUI 😔

BASI WAULIZE HATA KIFUNGU KIMOJA CHA KATIBA... HAWAJUI! TAIFA LIMEFURIKA WAJINGA TU! MA-ROLE MODEL WAO NDO HAO KINA 2PAC, DIAMOND NA HARMONIZE. WALAMBA ASALI WANAFURAHI TU MAANA VIJANA NDO NGUVUKAZI ILA AKILI HAWANA. WANAONGOZWA KAMA MANG'OMBE TU
 
Vijana wa hovyo
 
Jamii iliyoshindwa kustaarabika kabisa, uhuni na uhalifu ndio maisha waliyochagua ndani ya taifa kubwa lenye fursa nyingi za maisha.
Usisahau kuna umaskini mwingi USA ndio maana wanajiingiza sana kwenye drugs business na nyingine Haram, poverty, ghettos, malezi ya mzazi mmoja na mengine mengi
 
State sio Poa si Rafiki kwa black mjuaji na mjanja mjanja.
Wanataka Sheep kimya na utii sheria zao.
Police wa kule wana watreat vibaya sana blacks, ila lifestyle yao na rekodi zao za uhalifu zinachangia hilo.....

Kuna kipindi Obama akiwa Rais alikiri magereza mengi US yamejaa blacks...japo alisema ni tatizo la kijamii zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…