Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

Aisee Pop smoke angekuwa moto mzee Dior.Mzee wa Wait...Hold...Make laugh....Slow down.Nilidownload mixtape yake Woo 2 wiki inayo fuata home robber waka mkill.Ila maisha ya ulaya watu wanaanza kushika hela umri mdogo ila bongo dah watu wamesoma lakin ugumu wa life uko pale pale bac tu..
Hamna namna mzee
 
Nipsey Hussle alisema ukweli kipindi Anamalizia Ngoma take ya mwisho Kabla ya kuuliwa ( Racks in the middle) kuwa bug Fish wanauwa kudabo mauzo mana mtu akiuliwa au kufa mauzo anaenda mbali kuliko kawaida.
Pop Smoke Mzee wa The woo.. Dah Trap ni trap kweli
Pop smoke alikwa noma yan ile saut na izo beat.Baby come meet Wooo,big gun on mabody yan kama una stress zinatoka..
 
Aisee Pop smoke angekuwa moto mzee Dior.Mzee wa Wait...Hold...Make laugh....Slow down.Nilidownload mixtape yake Woo 2 wiki inayo fuata home robber waka mkill.Ila maisha ya ulaya watu wanaanza kushika hela umri mdogo ila bongo dah watu wamesoma lakin ugumu wa life uko pale pale bac tu..
Pop smoke alikuwa anakuja[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]sana
 
Kama kawaida Kuna matukio yanafanywa kwa higher intelligence na script za kijeshi kabisa hadi watu wanabaki mdomo wazi. Subiri wapishaNe kimaslahi utaskia Mkubwa kaua Mkubwa
Ila wapelezi wa huko hasa FBI huwatumia Sana hawa gang members kupata taarifa za Siri kuhusu uhalifu....ndio maana kuuana kwa kuchomana ni kawaida sana.
 
Back
Top Bottom