johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo kimsingi unakubaliana na Ras kwamba Kariakoo ni SokoniTuweke kumbukumbu sawa.
Kariakoo kama SOKO lilianza baada ya wajerumani kuondoka na sisi kuwa chini ya waingereza.
Mwaka 1960 ndio soko lilianza rasmi......na hakukuwa na hao "maching guys"....wakijumuisha "wanaozunguka na bidhaa mojamoja mikononi kama CHENI na SAA".
Hahahaaaa...... Hapo Ufipa anayewatetea machinga ni Heche peke yake!Ras Mtimanayongo nadhani Bangi zimeingia kwenye nyongo na ubongo.
Wewe hujawahi kupigwa?Watapigwa sana mpaka wachakae
Hahahaaaa...... Hapo Ufipa anayewatetea machinga ni Heche peke yake!
Sikubaliani naye kusema kuwa hao wamachinga ndio asili ya hapo sokoni....Kwahiyo kimsingi unakubaliana na Ras kwamba Kariakoo ni Sokoni
Wakati wa mwendazake mlikuwa mnawadanganya wafanye biashara popote leo mnawapiga virungu.Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale.
Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu.
Mtimanyongo anasisitiza kuwa kifuatacho kiwe TRA kusaka maghala ya hao wajanja wajanja wa kariakoo huko Vingunguti na Buguruni kama kweli wanataka kukusanya kodi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Wapangwe hapo hapo Sokoni Kariakoo wakati wanasubiri Machinga complex ya mchina pale Ubungo!Sikubaliani naye kusema kuwa hao wamachinga ndio asili ya hapo sokoni....
Mwanzo WAFANYABIASHARA walikuwa "WANAPANGA BIDHAA CHINI"....baadaye Serikali chini ya hayati Mwalimu Nyerere ikalitengeneza hilo soko jipya lenye "VIZIMBA".....
Lengo la VIZIMBA ni kuziboresha biashara zenyewe...USALAMA WA KIAFYA NA USAFI WA MJI....
Na ndiyo yanayofanyika kwa hizi siku 12 kwa Serikali kuwataka WAFANYABIASHARA HAO kuhamia maeneo RASMI KIBIASHARA.......
Hawakudanganywa mkuu....Wakati wa mwendazake mlikuwa mnawadanganya wafanye biashara popote leo mnawapiga virungu.
Chadema ndio walikuwa wanaongoza jiji la Dar es salaam chini ya meya Mwita!Wakati wa mwendazake mlikuwa mnawadanganya wafanye biashara popote leo mnawapiga virungu.
Vizimba vinatosha hapo sokoni Kariakoo?!!Wapangwe hapo hapo Sokoni Kariakoo wakati wanasubiri Machinga complex ya mchina pale Ubungo!
Wamepangiwa pale pale Kariakoo.Waende walipopangiwa haiwezekani wazibe barabara kisa tu unatafuta turufu ya kisiasa.
Vizimba vitatosha tu square meter moja moja.Vizimba vinatosha hapo sokoni Kariakoo?!!
Ama waendelee kuweka bidhaa barabarani Jambo ambalo mwaka 1971 lilikoma kwa kutengenezwa hivyo VIZIMBA?!!!!
Machinga kazi yao ilikuwa ni kuzunguka hasa vile bidhaa vya wizi kwenye maduka ya wahindi ndio vilikuwa vinapatikana kwaurahis kwa bei nafuu. Sasa hawa wameweka makazi hadi wamelala.Tuweke kumbukumbu sawa......
Kariakoo kama SOKO lilianza baada ya wajerumani kuondoka na sisi kuwa chini ya waingereza.....
Mwaka 1960 ndio soko lilianza rasmi......na hakukuwa na hao "maching guys"....wakijumuisha "wanaozunguka na bidhaa mojamoja mikononi kama CHENI na SAA"........
MasakiSwali langu nauliza wale jamaa wanawapeleka wapi?
Kwa Dar es salaam ni maeneo gani ya wazi wametengewa kufanya shughuli zao?