Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Duuh.....😲😲🤣Vizimba vitatosha tu square meter moja moja.
Hakafu mzee Mgaya kaniambia CCM inapiga chini lile jengi la DDC na kushusha Machinga complex matata sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh.....😲😲🤣Vizimba vitatosha tu square meter moja moja.
Hakafu mzee Mgaya kaniambia CCM inapiga chini lile jengi la DDC na kushusha Machinga complex matata sana!
Wamepangiwa pale pale Kariakoo.
CCM imeamua kujenga machinga complex mpya pale DDC!
Swali langu nauliza wale jamaa wanawapeleka wapi?
Kwa Dar es salaam ni maeneo gani ya wazi wametengewa kufanya shughuli zao?
Waende masokoni wakalipie vizimba kama wafanyavyo wafanyabiashara wengine, walipe na kodi pia! Watengewe maeneo kwa umaalumu gani walionao? Ni kundi gani hapa TZ limepangiwa eneo maalumu la kufanyia mambo yao? Wao ni vilema hadi wadekezwe hivi?Swali langu nauliza wale jamaa wanawapeleka wapi?
Kwa Dar es salaam ni maeneo gani ya wazi wametengewa kufanya shughuli zao?
Wakati dora inawaruhusu ilikuwa sio kwa faida pana.Hawakudanganywa mkuu....
Ardhi ni mali ya dola....na biashara hufanyiwa juu ya ardhi.....dola imeamua waondoke kwa faida pana ya kila mmoja wetu......
#Zama Mpya
Uchaguzi ukikaribia mtawatafuta tu.Waende masokoni wakalipie vizimba kama wafanyavyo wafanyabiashara wengine, walipe na kodi pia! Watengewe maeneo kwa umaalumu gani walionao? Ni kundi gani hapa TZ limepangiwa eneo maalumu la kufanyia mambo yao? Wao ni vilema hadi wadekezwe hivi?
Dola iko kwa ajili ya ustawi wa Tanzania bwashee....Wakati dora inawaruhusu ilikuwa sio kwa faida pana.
Mshamba wewe!Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale.
Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu.
Mtimanyongo anasisitiza kuwa kifuatacho kiwe TRA kusaka maghala ya hao wajanja wajanja wa kariakoo huko Vingunguti na Buguruni kama kweli wanataka kukusanya kodi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Ukitaka kupita nenda Samora!Ndio wazibe barabara tushindwe kupita na vibaby walker?
Sio wapiga kura hao, wapiga debe tuuuUchaguzi ukikaribia mtawatafuta tu.
🤣🤣Ukitaka kupita nenda Samora!
Ina maana serikali haina mipango ya kudumu kuhusu wamachinga kwamba kila awamu na mipango yake.Dola iko kwa ajili ya ustawi wa Tanzania bwashee....
Awamu hii imeamua hivyo mkuu .....ubishi wa nini kaka?!!
Tuiendee kinyume dola yetu pendwa?!!
Hahahaaaa...... ....Kwanza muulize Amos " machinga" ni nani?Mshamba wewe!
Tupe picha ya mmachinga mwaka 1965.
Siye tulikuwepo.
Hiyo ndiyo haitakiwiw, rule of lawWatapigwa sana mpaka wachakae
Ukitaka kupita nenda Samora!
Wanapita kisokoni sokoni!🤣🤣
Kumbe wakazi wa kariakoo hawana haki hiyo ya KUPITA?!!
Dah leo wamekuwa wapiga debe wakati mliwauzia hadi vitambulisho. Ila mimi siwatetei ni ujinga wao.Sio wapiga kura hao, wapiga debe tuuu
Nenda Kitumbini kama una hela au Manzese kwa wachagga!Nafata bidhaa za kwenye maduka rasmi na sio bidhaa zilizopangwa road.
Serikali na wananchi ni lazima tushirikiane katika kuyatafuta majawabu......Ina maana serikali haina mipango ya kudumu kuhusu wamachinga kwamba kila awamu na mipango yake.