Ras Mtimanyongo: Kimsingi Kariakoo ni eneo la sokoni (Wamachinga) tangia Uhuru, Wafanyabiashara kwao ni Samora na Kitumbini

Ras Mtimanyongo: Kimsingi Kariakoo ni eneo la sokoni (Wamachinga) tangia Uhuru, Wafanyabiashara kwao ni Samora na Kitumbini

Hawa ni wa kushugulikiwa kabisa na akili zikae sawa wajue umuhimu wa kushiriki chaguzi

Maana ukiwaambia uchaguzi wanasema hawawezi kupiga kura.
 
Andika hicho kipengere cha katiba mpya kinachohusu machinga, kila mtu apambane na hali yake mkuu acha kuamnisha watu kwa masilai yako
Hawataki waache sindano ifike mahali pake, kama ni kwa maslahi ya mtu au ya taifa tutajua.
 
Watu tukifuata taratibu tulizojiwekea hakutakua na kundi la watu wanaoulalamikia Utawala. Kinachotokea ni matokea mabovu ya maamuzi ya viongozi ambao hawakufuata sheria wakati wanayatoa maagizo ya machinga kufanya biashara barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii kuna watu wa ajabu sana, yaani siku maisha yenu yakiguswa ndio mnapata akili? Nyakati za uchaguzi hata kupiga kura hamuendi hayawahusu, Watu wanatiwa mageza kwa kuvaa T-Shirts zilizoandikwa katiba mpya ninyi mnasema katiba haiwahusu. Tulieni dawa iwaingie mjisaidie wenye nkwani
Mkuu sio wao peke yao. Hata katika chama chetu mwenyekiti wetu amekaa madarakani kwa muda mrefu kinyume na katiba ya chama ambayo inamruhusu mwenyekiti kukaa madarakan kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano, kama ilivyokuwa kwa kina bob Makani nk. Lkn jamaa kakomaa huku akitumia ushawishi wa genge lake kukaa madarakan kimabavu, japo anaona kabisa kuwa anavunja katiba ya chama. Wanachama wengi pamoja na baadhi ya viongozi wa chama wanaumia sema ndo hivyo jamaa ashawa wahi.

images (25).jpeg
 
Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale.

Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu.

Mtimanyongo anasisitiza kuwa kifuatacho kiwe TRA kusaka maghala ya hao wajanja wajanja wa Kariakoo huko Vingunguti na Buguruni kama kweli wanataka kukusanya kodi.

Mungu ni mwema wakati wote!
Yaani wewe mzee
 
Mkuu sio wao peke yao. Hata katika chama chetu mwenyekiti wetu amekaa madarakani kwa muda mrefu kinyume na katiba ya chama ambayo inamruhusu mwenyekiti kukaa madarakan kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano, kama ilivyokuwa kwa kina bob Makani nk. Lkn jamaa kakomaa huku akitumia ushawishi wa genge lake kukaa madarakan kimabavu, japo anaona kabisa kuwa anavunja katiba ya chama. Wanachama wengi pamoja na baadhi ya viongozi wa chama wanaumia sema ndo hivyo jamaa ashawa wahi.
Onyesha katiba ya CHADEMA inaposema Mwenyekiti ataa madarakani vipindi viwili
 
Back
Top Bottom