Ras Mtimanyongo: Kimsingi Kariakoo ni eneo la sokoni (Wamachinga) tangia Uhuru, Wafanyabiashara kwao ni Samora na Kitumbini

Hawa ni wa kushugulikiwa kabisa na akili zikae sawa wajue umuhimu wa kushiriki chaguzi

Maana ukiwaambia uchaguzi wanasema hawawezi kupiga kura.
 
Andika hicho kipengere cha katiba mpya kinachohusu machinga, kila mtu apambane na hali yake mkuu acha kuamnisha watu kwa masilai yako
Hawataki waache sindano ifike mahali pake, kama ni kwa maslahi ya mtu au ya taifa tutajua.
 
Watu tukifuata taratibu tulizojiwekea hakutakua na kundi la watu wanaoulalamikia Utawala. Kinachotokea ni matokea mabovu ya maamuzi ya viongozi ambao hawakufuata sheria wakati wanayatoa maagizo ya machinga kufanya biashara barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio wao peke yao. Hata katika chama chetu mwenyekiti wetu amekaa madarakani kwa muda mrefu kinyume na katiba ya chama ambayo inamruhusu mwenyekiti kukaa madarakan kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano, kama ilivyokuwa kwa kina bob Makani nk. Lkn jamaa kakomaa huku akitumia ushawishi wa genge lake kukaa madarakan kimabavu, japo anaona kabisa kuwa anavunja katiba ya chama. Wanachama wengi pamoja na baadhi ya viongozi wa chama wanaumia sema ndo hivyo jamaa ashawa wahi.

 
Yaani wewe mzee
 
Onyesha katiba ya CHADEMA inaposema Mwenyekiti ataa madarakani vipindi viwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…